akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 787
- 527
Hivi ni kwanini Paka sio wengi kama Ng'ombe au Mbuzi wakati hawaliwi wala kuuawa na wanazaliana tu kila kukicha tena uzao wao ni wa mkupuo? Tazama jinsi ng'ombe wanavyochinjwa kila kukicha na uzao wao ni mmoja mmoja lakini wako wengi sana.
Wana ecology tunaomba majibu na ukiweza tupia swala ulowahi kushindwa kumjibu mtoto/mwanao
Wana ecology tunaomba majibu na ukiweza tupia swala ulowahi kushindwa kumjibu mtoto/mwanao