Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu...
0 Reactions
9 Replies
598 Views
Naona baada ya kukataliwa kupewa mikopo na misaada,. Sasa mnakimbilia kujipeleka Kwa warabu Nawakumbusha warubu sio wahisani wazuri kama wazungu Mzungu anatoa misaada mingi na masharti machache...
8 Reactions
21 Replies
601 Views
Mnakumbuka Wanu aliahidi atanunua mashine za kuchimba makaburi? Ninadhani mtakuwa mumemuelewa sasa. Asiyejua maana haambiwi maana.
3 Reactions
7 Replies
333 Views
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya...
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere...
1 Reactions
11 Replies
339 Views
Katika kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania, mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda pamoja na Viongozi wa dini wameitumia siku hii kufanya maombezi ya kuliombea taifa pamoja na mkoa wa Arusha...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Bunge la Ulaya lapiga kura ya ndiyo kuzuia misaada Tanzania, lataka Lissu aachiwe Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya (EU Council) kusitisha ufadhili kwa Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao...
8 Reactions
18 Replies
751 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia...
17 Reactions
261 Replies
16K Views
Hili nililiona mapema kabisa hata kabla ya uchafuzi mkuu wa OCTOBER 29 2025 Katika mkanganyiko wa kupoteza madaraka ccm wakafanya waliyofanya na matokeo yake yakaonekana wazi dunia nzima Kwa...
6 Reactions
11 Replies
516 Views
Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao...
12 Reactions
19 Replies
675 Views
Sijui wapi na itakua lini?, sijui ni kina nani wale na mahali gani? pale masikini sijui kiliwasibu nini? hadi wakawa katika hali Ile!? Nimewaona vijana wengi wakiwa wanajitoa muhanga kwa...
3 Reactions
12 Replies
722 Views
Hapo pembeni karibu na jengo la Tanesco ndipo palikuwa stendi ya daladala ubungo. Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?
2 Reactions
4 Replies
243 Views
Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, ametangaza kibali maalumu cha mwaka mmoja cha kuruhusu marekebisho ya taarifa za usajili ambazo zilikwama kutokana na kukinzana na taratibu za uthibitishaji...
2 Reactions
2 Replies
342 Views
Salaam sana Wanajukwaa, Unakumbuka hadithi ya kitabu cha "A Wreath for Father Mayer:😀😀 Kitabu hiki ni hadithi fupi iliyoandikwa na S. N. Ndunguru (aliandika Stori maarufu ya SAFARI YA GARI MOSHI...
8 Reactions
18 Replies
988 Views
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anayetambulika kwa jina la Said Kabuga, kudaiwa kujitumbukiza kwenye kisima cha maji na...
3 Reactions
13 Replies
597 Views
Mambo yamekuwa magumu siku hizi yani hakuna idara yoyote unaweza kupata taarifa kupitia simu wala app na tovuti na cha kuchekesha mpaka TRA risiti nazo wamefunga taarifa. Wana muogopa nani?
8 Reactions
22 Replies
854 Views
Tumuimbie kidogo. "Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huo Achia ngazi bibi mchuma huo. . . . . Umechelewaaaa, naondoka naye umeishiwa nina dunda naye . Twaona mambo yapo huku taarabu himo...
6 Reactions
15 Replies
429 Views
Happy birthday. Lakini moyoni mwangu bado nakuwaza. Mimi, pamoja na wengi, tunaendelea kutumai kuwa huenda siku moja tungepata majibu, kwa kuwa bado kuna sauti ndani yetu inayosema labda bado upo...
12 Reactions
24 Replies
712 Views
Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya...
1 Reactions
4 Replies
175 Views
Back
Top Bottom