Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawaza kwa sauti , hivi kwa kilichotokea na kinachozidi kuendelea , je Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa?
5 Reactions
28 Replies
984 Views
Kile kitabu cha nchi ya kusadikia kina wezekana kiliandikwa kuhusu tanzania na kilipigwa marufuku mashuleni kama kaptula la max. Sasa mtazuia mangapi kama ukweli unajulikana maana mpaka waziri...
10 Reactions
18 Replies
882 Views
Hakikisha hurudii kosa. Tusisahau phase ya kwanza nyanya moja tuliuziwa zaidi ya Tsh elfu 1 Tusisahau nyama kilo moja tuliuziwa Tsh elfu 25, mchele tsh elfu 5 ,viazi gunia la elfu 60-70 viliuzwa...
5 Reactions
19 Replies
506 Views
Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala. Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea . Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha...
19 Reactions
27 Replies
909 Views
Natamani time travel ingekuwa ipo really. Hawa gen Z wangetusaidia sana kurudi nyuma mpaka miaka ile kuzuia muungano, automatically kimama asingekuwa makamo wa rais na haya yanayoendelea...
0 Reactions
5 Replies
154 Views
Je Mkiza soul na Mentor Cherry wameuwawa? Zaidi ya siku 10 sasa hawapo hewani na siku chache zilizopita walipost kwenye mitandao ya kijamii wanatafutwa na polisi kimya kimya na walikuwa wanapata...
4 Reactions
6 Replies
459 Views
Hizo Tata za chanika na ruti mbali mbali mkiziona tata hiyo ndo hesabu Hii hesabu naiona ni kubwa na kwa maoni yangu ni ya kinyonyaji na hii inafanya dereva alale late aamke mshale na pia...
11 Reactions
60 Replies
3K Views
Huyu binti hapo chini kwenye Video ni wa kutoka kabila la Mundari. Ili umuoe umpatate lazima ulipe mahari ya ng'ombe 1000. Mundari ni kabila dogo linalopatikana kilomita 75 kaskazini mwa mji...
6 Reactions
15 Replies
780 Views
Hi dunia buana kila mtu na maisha yake, huyu jamaa ni comrade wa siku nyingi baba ake alikua mukulima na muuza miwa ya msimu bondeni kwetu kijijini tulianza nae maisha tukawa watumishi wote mimi...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
Rafiki yangu amefiwa na mama mzazi na mdogo wake siku moja kwenye ajali. Anaumia sana, imepita wiki sasa, ila bado analia kila siku na kuongea peke yake mpaka tunaogopa. Kama umeshawahi kufiwa na...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Mawasiliano ya barabara kuu ya Dar es salaam -Lindi yamekatika tena katika eneo la Somanga kuanzia mchana hadi jioni hii leo April 16,2025 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini ambapo...
3 Reactions
2 Replies
503 Views
Mara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe...
38 Reactions
87 Replies
4K Views
OCD Chunya: Vituo vya Mafuta msiwauzie bodaboda na bajaji zaidi ya lita 2 za petroli Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Chunya, OCD Nestory John, ametoa agizo kwa vituo vya mafuta kutowauzia madereva wa...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
CCM wamefanya wanachokiweza kuhakikisha wanaingia madarakani kinguvu, wengi waliopinga suala hilo wameishia kupotezwa au kupewa kesi ngumu wengine ndio kama hivyo wamepoteza maisha. Sasa kwa kuwa...
6 Reactions
19 Replies
436 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii naichukulia kama kumbukumbu maishani mwangu kwamba usiepende kukaa unapinga kila jambo Mwana JamiiForums Likud miaka takribani saba...
7 Reactions
12 Replies
843 Views
Salaam jamiiAfrica. Unataka kuwa huru? Unataka kuwa na Amani? Unataka watoto wako uwalee na wafurahie uwepo wako? Unataka kufaidi mema ya Dunia,japo asilimia 0.01? Jitenge na siasa,kaa mbali...
23 Reactions
142 Replies
4K Views
Huyu kijana kasema ukweli mtupu kabisa ameeleza namna viongozi wengi wa serikali wamegeuka kuwa machawa na sio watendaji wa kumsaidia rais. Ameeleza kuchagulia kuwa kiongozi si kwamba una vyeti...
3 Reactions
6 Replies
228 Views
Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani? Na anataka serikali imalizane nao vipi? Hivi mbunge anafikia hatua...
2 Reactions
16 Replies
716 Views
Kuna yule mwamba alio omba ushauri namna ya kutembea na mke wa mtu bila mme wake kujua, sasa nikawa najiuliza vp kwa mfano baadhi ya suggestions atakazopewa moja wapo itatoka kwa mme wa huyo "mke...
24 Reactions
112 Replies
3K Views
Huyu mama siku chache zilizopita alifanyiwa upasuaji akajifungua baada ya kuruhusiwa ile kufika nyumbani akaanza kuhisi maumivu makali sehemu alipopasuliwa, mean alipofanyiwa upasuaji akaanza...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Back
Top Bottom