Katika pitapita zangu instagram Kuna page nika kuta huyo dogo akifanya mahojiano na professor pro Lumumba aiseee nimechokaaaa, kumbe polisi wanamjua huyo dogo ndo mana nilikua najiuliza huyo dogo...
Wakuu kama niliposema!
Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu.
Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote.
Sijawai tokwa damu puani.
Mkoa ni kigoma.
Napata sana wasiwasi...
Zanzibar imefikisha idadi ya watalii wa kimataifa 743,605 hadi Oktoba 2025, kiwango ambacho tayari kimevuka rekodi zote za miaka iliyopita kabla hata mwaka kuisha.
Mwaka jana visiwa hivyo...
Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo.
Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
Harmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale.
Ndio maana hata maandamano ya Oktoba hakuna...
MADHARA
1. Kwanza kabisa Mafanikio ni bahati sio juhudi tu. Licha ya kupambana, juhudi Ila kuna vitu unavipata kwasababu ya bahati tu. Watu wangapi unaokutana nao kwa bahati tu na watu haawa...
Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii...
Nawatahadharisha kuwa mtandao CRDB ni nyoko ukitoa pesa kwenye ATM kwa simbaking ikagoma wanasumbua kurudisha nilitoa 400,000/= ikakatwa kwenye akaunti ila haikutoka nikarudia tena kutoa...
Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu
Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini?
Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea...
Huenda shetani ndie binadamu mwenyewe haiwezekani kuua watoto wadogo kwa risasi sasa huyu mtoto kosa lake nini lbd?
Afu kuna watu wanashabikia hii serikali ya wauaji.
Samuya kaa ukijua auaye...
Ee Mwenyezi Mungu wa rehema na haki, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya kufikia siku ya leo
Leo, tumeshuhudia kuapishwa kwa Rais wa Tanzania,,tunaomba umguse kwa hekima na...
CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki
Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi...
Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi
Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa kata na polisi kata wilayani humo kuhakikisha vijana, hususan wale wanaojishughulisha na...
Kuna watu wamevurugwa kinoma!
==========
Watu wasiojulikana wamevamia Makaburi ya Dodoma, yaliyoko katika Mtaa wa Mageuzi, Kata ya Ngokolo, Manispaa ya Shinyanga na kuvunjavunja vigae na kuiba...
Wakuu habari zenu,
Mwaka jana mwezi March kuna jamaa mtaani hapa aliniibia kuku mchana kweupe kabisa watu wanaona, nilipopata taarifa nikamtafuta mtaani nikamkosa, nikaamua kwenda nyumbani kwako...
Salaam!
Nimepenyezewa taarifa tokea Dodoma kuwa,
Wapo baadhi ya wanakijiji yanapopita marori yaliyobeba makaa ya mawe, wananchi Hawa hukaa Pembeni mwa barabara na kusubiri baadhi ya makaa ya...
Yaani nimekutana na hekaheka za wanaume wa Dar, wanawake kwa watoto, masokoni na mabarabarani wakinunua vyakula kama watu wanaojiandaa na janga la njaa..
Wengi wamepanga kujifungia majumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.