Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa...
Maji ni kitu chenye nguvu sana!
Kamwe usijaribu kuyazuia yanapochagua njia yake, maana hutayaweza. Ukijaribu, yatakusababishia madhara makubwa!
Ni wakati wa mabadiliko… Hayazuiliki! Na kujaribu...
Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake...
Hii video hapo chini Mwanza ina trend sana leo kwenye mitandao ya kijamii. Hawa wahuni wanajifytulia tu marisasi na kuua ndugu zetu bila huruma.
Kuna wauaj8 makatili sana miongoni mwetu...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya nafasi ya Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wa mkoa wa kihuduma Kibamba kutokana na kutoridhishwa na...
Niko zangu tu hapa nikitetemeka balaa. Hule mkwara kaka yake Polex2 aliouchimba asubuhi mwamba hatanii yuko serious ukizingatia ni kanali, yuko jeshi la NATO anabusu hadi mamba tumekwisha...
Imeshazungumzwa sana makosa yaliyofanyika kwa upande wa mamlaka, lakini ni vyema tukageuza upande wa pili wa shilingi.
Kwa nini nasema mange hathamini uhai wa watanzania bali anajithamini yeye tu...
Mambo machache usiyoyafahamu Kuhusu Kituo cha Kuwazuilia washitakiwa wa ICC
1. Ni jela Ndani ya jela: Jengo kuu ni gereza la Uholanzi linalofanya kazi kikamilifu, na ndani yake kuna kitengo...
Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta?
Inampataje kwa njia gani? Na kama...
Ukiwa na idea hautapata shida sana ila kama hauna msingi wa umeme kabisa itachukua muda kidogo mpaka kukaa sawa, mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0615476645
Tahadhari ni muhimu,
Huenda mambo yakawa tofauti zaidi kuliko ilivyokuwa hapo awali.
Huenda hata hiyo tarehe tajwa isifike watu wakashtukiza ,hivyo kama ulikuwa hujajiandaa kimahitaji kikamilifu...
Kuanzia mwaka 2015 ilithibitika pasi na shaka kwamba Siasa inalipa mara 10 ya Taaluma. Diwani wa darasa la saba kwa miaka 5 anapata mafao na feha nyingi kuliko mwalimu aliyehitimu Chuo kikuu...
Kutuhumu Jeshi la Polisi au chombo chochote cha usalama kwamba kimeiba mali au fedha, hasa bila ushahidi wa moja kwa moja, ni jambo lenye uzito mkubwa na athari kubwa.
Baadhi ya athari hizo ni...
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao...
Matukio mengi ya utekaji yangeweza kudhibitiwa kama raia wengi wengekuwa wanamiliki bunduki au bastola za kujilinda, wangeweza kupambana na watekaji ambao mara zote huwa wengi na wenye silaha...
Anaandika Roma mkatoliki.
Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!!
Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!!
Inavyosemekana...
Habarini wanajukwaa?,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,binafsi naomba mnisaidie kujua nyie mnawezaje kuingia humu JamiiForums mkiwa ndani ya Tanzania ilhali hali ya kimtandao haijakaa sawa?
Nb...
Tarehe 09 njia ni nyeupe kabisa!!
Tushindwe wenyewe wallah kuingia Road
Nawakumbusha bango Bango Bango
Hakikisha unatoka na bango tafuta hata box kata bango Andika kwa Makapeni ukikosa Markpen...
Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko.
Baada ya kutafakari...
Uzi huu hauna lengo la kuhamisha machafuko..
Ila ni wazi Serikali tiifu wameishiwa mpango kazi. Nimekuwa Arusha kwa karibu siku nane mpaka sasa, na hakuna siku imepita bila mtu kutekwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.