There’s something deeply painful about watching a woman rise to power, only to wield it the same way the men before her did. Samia Suluhu Hassan was once a symbol of hope, Tanzania’s first female...
Baada ya kulazimisha ushindi, sasa analazimisha furaha, lakini moyoni hana raha wala amani.
State funded manipulators wanakuja kwa kasi na ni wengi sana, huyo Madenge ni kitangulizi tu, mara...
Mwanafunzi wa mwaka wa pili UDOM, Said Kabuga, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujitumbukiza kisimani usiku wa kuamkia Leo Novemba 26, 2025, kutokana na hofu ya kupoteza fedha alizobeti ikiwa...
Guys nimeona vyombo vya habari na zile taasisi za "mama this, mama that" zikitoa data za kupikwa za vitu vilivyoharibiwa MO29. Guys.
Guys. Sasa ikiwa hata pikipiki zilihesabiwa na kujulikana...
Katika Afrika Mashariki ni ngumu kuweka ukabira kwa nchi ya tanzania ila awamu zote aliyeanza kuleta ukabira wazi wazi ni mwendazake Magufuli. Katiba mbovu ya Nyerere na mfumo wa ovyo wa CCM...
Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile...
Wakuu poleni na kazi
Naitaji msaada wa mwanaJF yeyote ambae anafanya kazi wizara ya TAMISEMI
Nina Jambo langu moja nahitaji msaada wa kujua.
Naomba anipm kama yupo.
Sio mama samia tu na mwingine atakayekuja atapata tabu sana kuliongoza TAIFA 🇹🇿 kwa sababu Magufuli amewaonesha watanzania kwamba inawezekana kuyafanya mambo mengi makubwa ndani ya taifa, tena ni...
Jamaa ni Mfano halisi wa ndugu wa damu .Ukiwa na kaka au dada kama huyu unapaswa kutembea kifua mbele, hakika una malaika wako duniani..Sisi wengine tulishawahi kuingia kwenye misala mizito afu...
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amesema madereva bodaboda wilayani Makete hususan Makete mjini walimtimua mtu aliyekuwa amekuja kwao kwa ajili ya kuwashawishi waandamane Desemba 9...
Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema...
🔹Neno la Mungu halikutengenezei hofu, bali linaondoa hofu na kuleta ujasiri ndani ya mwamini.
🔹Neno la Mungu halikufanyi uwe mnafiki na muongo muongo, linakuonya na kukutahadharisha madhara ya...
Endeleeni kupumzika kwa amani mashujaa/mashahidi wote mliomwaga damu yenu kwa ajili ya Ukombozi wa Watanganyika hakika Watanganyika wataandika ujasiri wenu mioyoni mwao.
Ni juzi tu tumemsikia...
Kwa ufupi serikali na watu wote inabidi waishi kwa upendo na amani na kubwa zaid wajue sasa hivi kuna mamlaka kubwa kuliko mamlaka zote duniani mfalme wa wafalme
Serikali ya Tanzania ina...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa
Pili hajitambui
Tatu hajielewi
Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana
Tano...
Wazee tukubaliane tu Maza na wenzake ndiyo wameenda hivyo, hiyo imeisha .
Waandishi wa yale mashtaka wanaweza kuwa ni majini au viumbe wa ajabu iabisa coz siyo kwa mpangilio ule aagh!🫢
Ukitaka...
Ndio kuna nchi kazi zao ni kutumia fursa wapo kama magonjwa nyemelezi wao hawajali maisha ya watu.
Kwa sakata linaloendelea nyakati hizi baada ya ndugu zetu kumiminiwa Risasi na makatili tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.