Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda. Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
3 Reactions
7 Replies
427 Views
Wakati dunia inaendelea kukabiliana na mabadiliko makubwa yanayotokea, mabadiliko ambayo yanaonekana kuvuruga mfumo wa usimamizi wa dunia ambao umekuwa ukifuatwa tangu kumalizika kwa vita ya pili...
1 Reactions
0 Replies
162 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya...
2 Reactions
19 Replies
837 Views
Ni kijnywaji kipwa Kama heading ilivosema Waungwana Hiki kinywaji ukitembelea sehem zile za vijiwe vya Kahawa unanikuta Ni Kichungu mithili ya Shubiri. Kwa anaekifaham asili yake ni wapi na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
1. Usiwe mkali wa maneno (3:159) 2. Zuia hasira (3:134) 3. Wema kwa wengine (4:36) 4. Usiwe mwenye majivuno (7:13) 5. Wasamehe wengine kwa makosa yao (7:199) 6. Ongea na watu kwa upole (20:44) 7...
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Kuelekea tarehe 9 anza kukusanya mahitaji yako ndani, mlikishwa pewa taarifa muhimu ya kutoa pesa kwenye mabenki na simu muwe na Cash. This is highly likely, kuwa hili jambo la tarehe 9 likienda...
5 Reactions
12 Replies
552 Views
Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
King James I (1566–1625) ndiye aliyeagiza tafsiri ya Biblia maarufu ya “King James Version,” lakini hakuandika Biblia hiyo mwenyewe. King James hakuwa kiongozi wa kidini alikuwa mfalme wa...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo; vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media. Watoto wanakesha shule lakini...
1 Reactions
30 Replies
662 Views
Samia: Vurugu za Oktoba 29 walitaka kuangusha Dola. Tunapoambiwa tulitumia nguvu kubwa, nguvu ndogo ni ipi? Wanatupa maelekezo kwani wao ni kina nani hasa? Rais Samia amezungumza na Taifa...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
"Unaporudi leo mzee na kulia kijana wako kaumizwa mguu kijana wako alikufa ulishindwa nini kumzuia asitoke, ulishindwa nini kumuambia maneno ya hekima asiende" Rais Dkt Samia Suluh Hassani...
3 Reactions
4 Replies
201 Views
Inaumiza kichwa sana kwani ukiwa nje huwezi kuona ya ndani (sio nje ya nchi) .. 15 ni namba iliyo leta miyegusho kwa Taifa .. lakini ilileta Nuru na mwanga kwa kizazi Mengi ambayo...
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema. Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta...
12 Reactions
31 Replies
931 Views
Eze 8:6 SUV [6] Akaniambia, Mwanadamu, je! Unayaona wanayoyafanya, yaani, haya machukizo makubwa wanayoyafanya nyumba ya Israeli hapa, hata niende zangu mbali na patakatifu pangu? Lakini utaona...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Kwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe. Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu...
5 Reactions
7 Replies
405 Views
Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi...
19 Reactions
81 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Siku kadhaa zilizopita nilifanya safari kati Dodoma na Sumbawanga, nilitumia usafiri wa Bus la Kampuni ya AN Classic. Pamoja na kwamba route hiyo AN Classic ndiyo Bus...
3 Reactions
10 Replies
588 Views
Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu...
1 Reactions
14 Replies
333 Views
Back
Top Bottom