Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo walikamatwa na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha. Kwa mujibu wa...
2 Reactions
6 Replies
375 Views
Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Niliziba jino miaka mitatu iliyopita, kama week tatu hivi zilizopita likaanza tena kumeguka zile sehemu zilizokua zimezibwa, baada ya siku kama tatu likaanza kuuma, nikaanza kutumia dawa za asili...
131 Reactions
445 Replies
88K Views
Inaonekana waarabu wa Zenji wameshapewa mamlaka ya kutuma meseji kwa niaba ya Jeshi la polisi. Sharia ndio nini?
4 Reactions
3 Replies
258 Views
Hotuba ya leo kutoka kwa manyota, kwa namna alivyokiri kuua waandamanaji, nachelea kusema kuwa Balozi Polepole sidhani kama yuhai huko anakoshikiliwa na mamlaka. Nahisi amepitia maumivu makali...
13 Reactions
21 Replies
799 Views
Lugha za mipasho zilitamalaki Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko...
5 Reactions
4 Replies
275 Views
Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana...
2 Reactions
8 Replies
395 Views
Za chini chini inasemekana bibie nae alikuwa na tabia za umiodo wa tanga yule yule mmbea akapeleka na umbea wa jojo bwama kwa mama ndio maana jojo juzi hapa alitolewa kule juu kijani now yupo...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee...
5 Reactions
22 Replies
986 Views
Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Na GENTAMYCINE sijawahi kuwa katika Team halafu nikawa Mtu wa Mikakati ya Ushindi na nikafungwa. Tumeshinda!!!!
0 Reactions
8 Replies
319 Views
Tafadhali naomba wale Wataalam (Mangwena) wa IT mje mtuelimishe hapa na anzeni kwa kutuambia ili ufanyeje Meta wasikufungie na pia ukifanya nini Meta wanakufungia. Mkimaliza kunielimisha hapa...
1 Reactions
5 Replies
199 Views
SERIKALI imesema inatambua na kuthamini mchango wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB) katika kupanua wigo wa upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha kwa wanawake pamoja na wajasiriamali wadogo na wa...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Samia anaongoza nchi vibaya ba ukimkosoa machawa wake watakuambia unamkosoa kwa sababu ni 1. Mwanamke 2. Mzanzibari 3. Muislamu Sasa hapa nina swali au maswali Tunakubali kuwa Rais naye ni...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea...
23 Reactions
142 Replies
12K Views
adriz unaona lakini Watu ambavyo wanajua kupanga vyema Mikakati yao hata kama itachukua muda ila itatimia tu?
-1 Reactions
5 Replies
285 Views
Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea...
3 Reactions
17 Replies
541 Views
Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela M-Pesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au...
33 Reactions
120 Replies
5K Views
Hii nchi kunashida ya genetic za waafrika halafu anajiita dokta sijui wa nini?. Yani katika vitu tanzania vitakuja kusababisha matatizo ni hawa CCM wanaotawala kwa kujipa vyeo na elimu ambazo...
2 Reactions
8 Replies
273 Views
Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani. Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale...
7 Reactions
14 Replies
531 Views
Back
Top Bottom