Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata...
Kwenye mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), Rais Xi Jinping wa China alitoa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia (GDI) likiwa na wito wa kuleta maafikiano kuhusu kufuata maendeleo...
Habari wadau.
Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli...
In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%.
Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya.
Hata...
Habari Tanzania !
Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee...
Hii sinema mbona imeshindikana jamani.
Yani hapa wazee wa Magomeni, Mbagala, Buguruni, Kimara, Tegeta, Kigamboni, Ilala, Kinondoni na n.k mkoa wote kila tukiwapigia simu wanajiuliza wazee wana...
Wanabodi,
Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane.
Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k
Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika...
Akizungumza katika mahojiano na Clouds tv katika kipindi cha Live on Clouds 360 Mchambuzi wa Masuala ya Siasa nchini, Salehe Mohamedi amesema "Tukubaliane nchi haiwezi kuendelea bila mikopo. Hiyo...
Ukifika south afrika kwa wale mnaolewa mtapata picha nzuri kama maeneo ambayo ni hatari mfano Soweto kwenye mauwaji yalifanyika na utawala wa makaburu.
Kwa ujumla nchi zilizopingana na serikali...
Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu.
Are we not comparing apples to oranges?
Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi...
ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo...
Hii nchi bwana ukisikia kesi ya mbuzi anashirikishwa mwizi wa mbuzi ndio sasa.
MwiguLu alipokuwa waziri wa fedha kila pesa ilitaka ipitie kwake ila leo kawa waziri mkuu anasema walilipwa bilioni...
Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha.
Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho.
Hata sisi...
Njoo iongee na vijana wazee hawana impact yeyote wamejichokea zao
Siku zote wanadai haki ni vijana , wanapigania haki ni vijana, nguvu ya taifa hili ni vijana.
Unaita wazee kwani wao ndio...
Mimi ukiniuliza masuala ya waisraeli na wapalestina siwezi kuwa uchungu nayo sababu hayapo kwenye Afrika yangu.
Ila hii imani ya ndugu zetu wanaona Palestina kama malaika hata waarabu wenyewe...
Penye ukweli pasemwe.
Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando...
Ukiachana na mambo ya katiba, uhuru wa kuongea, hiii ndio Tanzania ambayo vijana wengi wanatamani kuiona kipindi hiki cha uhai wao
1. Tanzania yenye viwanda tele ikiwemo viwanda vikubwa vya...
=>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY?
=> Mshindi Huwezi Kumshusha.
=> Mshindi Huwezi Kumuangamiza.
=> Mshindi Huwezi Kumtishia.
=> Mshindi Huwezi Kumshinda.
#Said...
Kuna nyakati ambazo nchi huingia katika aina fulani ya ukimya usio wa kawaida—ukimya wa kidijitali. Mamlaka zinapositisha au kupunguza kasi ya intaneti, ghafla maisha ya watu milioni kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.