Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Hiyo ndo kauli mbiu ya Rais Samia. Kwa ufupi ataendelea kuwakaanga vijana wenu mpaka mseme poo yule, mshipa wa ubinadamu ushampotea Hakuna sehemu nchi inapelekwa hii zaidi ya kudumbukia shimoni...
5 Reactions
1 Replies
132 Views
Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao. Hivi jamani 80% ya watanzania...
1 Reactions
4 Replies
227 Views
Na siwezi mlaumu. Kama kwa usiku mmoja alilala nao wote 9 akawadinya wakawa wanakubali tu lazima aliona hawana akili. Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 2658, kama ilivyoandikwa katika kitabu...
0 Reactions
8 Replies
342 Views
Ila Kampeni za Mama Aibu naona mimi Atavuta maji kutoka ziwa Victoria mpka Dodoma.
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.
5 Reactions
71 Replies
27K Views
Mlevi mmoja anasema hakuna mchezo mchafu Kama siasa na kupitia siasa Mtu yuko radhi kufanya chochote kwaaajili ya nafasi yake kisiasa mlevi amemaliza kwa kupiga fundo la mwisho la Beers 🍻
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu. Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia. Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa...
7 Reactions
11 Replies
443 Views
Kuelekea sikuku ya Kuzaliwa Yesu, mkombozi wa wandamu wote, Watu wanasafiri sanna mkoa mmoja kwenda mwengine kujumuika na familia zao kumsheherekea Issa bin Maram au Yesu kama wakristo...
34 Reactions
60 Replies
10K Views
Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi, hawa migambo inapaswa wasome alama za nyakati. Wanafikiri wananchi wanaogopa.
21 Reactions
65 Replies
2K Views
Sheria za Marekani kuhusu kumrejesha mtuhumiwa • Marekani haina mkataba wa jumla wa uhamishaji watuhumiwa (extradition treaty) na Tanzania, kwa hiyo kila kesi huangaliwa kwa msingi wa sheria za...
1 Reactions
7 Replies
311 Views
Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale...
0 Reactions
49 Replies
719 Views
Kwa matamshi yake ya leo ni dhahiri mambo yote yalio tokea 29 Oktoba yalikuwa na baraka zote kutoka kwa Rais na watendaji wake. Hivyo basi tume iliyoundwa kamwe haiwezi kuwa na majibu yenye...
1 Reactions
1 Replies
238 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha...
1 Reactions
9 Replies
435 Views
Msikilizeni Mkuu wa mkoa hapa kisha jengeni hoja. Ile mihemko ya mitaani hatutaki. Ukiona hakuna la maana hapa toa hoja yako. Matusi kila asie na hoja anajua...
2 Reactions
67 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi (Mb), amesema kuwa jukumu kubwa la Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) ni kukuza, kuelimisha na kutangaza biashara za...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Stori ilitambaa sana ikihusisha mpaka waandishi wa habari kutishiwa maisha, wazee wa kukata kichwa, Iko hivi huyo sheikh mwalimu wa madrasa, ALIKUA anamtuma yule mtoto wa kike mdogo sana soda...
0 Reactions
3 Replies
212 Views
Nadhani hapa tumeelewana vizuri tu. Tumeshatoa sana Mawazo yetu Mema na ya Hekima naona hamtaki kutuelewa.
9 Reactions
119 Replies
3K Views
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 1,700,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi. Amesema kati yao, zaidi ya watu 1,500,000 wako kwenye huduma za matibabu na matunzo. Dkt. Sumba amesema hayo katika...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi wazee wa Dar es Salaam ndio wazee wa aina ipi? Na kigezo cha kuwa mzee wa Dar ni kipi? Na kwanini wawe wazee wa Dar es Salaam na isiwe Mtwara, Dodoma, Singida na sehemu zingine? Na mara...
5 Reactions
32 Replies
985 Views
Back
Top Bottom