Tevee kinywaji kipwa katika Vijiwe vya Kahawa

Sharifux

Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
10
Reaction score
13
Ni kijnywaji kipwa Kama heading ilivosema
Waungwana Hiki kinywaji ukitembelea sehem zile za vijiwe vya Kahawa unanikuta Ni Kichungu mithili ya Shubiri. Kwa anaekifaham asili yake ni wapi na kinafaida gani na Athari gani Mwilini maana Ni kichungu sanaaaa.....
 
Hiki kinywaji nimeacha kunywa miongoni mwa sababu zilizopelekea niache kutumia kinywaji hiki,ilikuwa kila nikinywa teve siku ya pili yake au ya tatu nakojoa mara kwa mara tena mkojo mwingi sana. Mpaka wakati mwingine ngozi inasinyaa kutokana na kupunguza maji mengi mwilini.
 
Hii kitu mie wa kahawa kila siku pale kwa mjomba mjomba nilipewa hii kitu ni chungu kuliko alovera na vidonge vya chloroqeen.

Kifupi ni mwarobaini ila mtamu. Wanasema ina asili ya congo mkuu.....
 
Uchungu no basic in nature,kama ni Cha moto kinafaa Kwa kiwango kidogo ku neutraliza acid tumboni!

Wenye vidonda vya tumbo au indigestion problem utumiaji was kahawa kiasi waweza kusaidia mmeng,enyo wa chakula Kwa kiasi chake lakini usizidi kiwango!
 
Hiki kinywaji nimeacha kunywa miongoni mwa sababu zilizopelekea niache kutumia kinywaji hiki,ilikuwa kila nikinywa teve siku ya pili yake au ya tatu nakojoa mara kwa mara tena mkojo mwingi sana. Mpaka wakati mwingine ngozi inasinyaa kutokana na kupunguza maji mengi mwilini.
Kiwango kikubwa Cha caffeine kina stimulate dehydration ,unapaswa kunywa maji mengi!
 
Back
Top Bottom