Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025.
Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
I admire Catholic's level of being unbothered. You'll criticize their religion, they will listen for u to finish. They go to church...they eat their sacrament, they pass by their locals, catch a...
Ofisi ya Rais ni taasisi kubwa ambayo ina kila idara na wataalamu ambao kiufupi wanaitwa washauri kutokana na idara walizopo.
Cha kushangaza yeye ndio kawa mshauri.
Wiki ya pili Sasa Jimbo la Kivule Mtaa wa Bombambili umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurudishwa saa nane usiku maisha yamekua magumu kwa wananchi ambao asilimia kubwa ni wajasiriamali. Hamna...
Kufuatia muendelezo wa taharuki ya kisiasa nchini, makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo serikali yamejitokeza na kuonyesha misimamo Yao
Serikali wao wamesema wanataka amani, wananchi pamoja na...
Wameibuka watu waongo ati wao ndo walimwaga damu ili Tanganyika upate uhuru
Uhuru wetu haukupiganiwa na yeyote msijipe umuhimu wa bure
Suala la uhuru lilikuwa na suala la muda wa uhuru hata...
Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote.
Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali
Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi...
Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na...
Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani.
Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi...
Mwanzo sikujua kama muislam.
Baada ya kuachiwa akasoma
Surat-Tin yaani sura ya 95
"Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ)
Mafundisho wa aya hii
1. Allah...
Serikali yawafutia mashtaka watuhumiwa 219 wa kesi ya uhaini wakiwemo Niffer na Mika
Jumla ya watuhumiwa 219 waliokamatwa kufuatia maandamano na vurugu za baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
Wakuu hivi inawezekanaje kuku kumsababishia kifo mtu kwa kumdonoa tu? Au kuna mchezo mchafu umefanyika hapa?
===
Mamia ya wakazi wa mitaa mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe...
Mabavu yana mwisho ila kuna mda mabavu yako na utawala wako unaweza kuona wewe farao.
kipindi cha raisi wa syria kabla ya kupinduliwa ilifikia hatua haya tunayopitia tanzania kwake yalikuwa ni...
Kila jambo huwa lina mwisho wake leo imedhihirika na hawajapinga viongozi haob kuwa huwa wanalipwa na chama tawala/serikali kwa kazi ya kuuwa upinzani.
Hivyo kina Lissu, Lema, Mbowe, Heche, Mdee...
TEC wameandamwa sana kuanzia raia namba 1 akiwaita ati ni wavaa majoho mara wapiga nyeto na kashfa kibao, ila sijaona mtu aliyeji hoja zao
Wametishiwa kukatwa vichwa
1. TEC wanakemea utekaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.