Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
0 Reactions
3 Replies
91 Views
Hivi udhaifu ni kile kitu ambacho tayari unakifahamu kuhusu wewe mwenyewe ? Mfano, mtu anajua kwamba ana tabia fulani ambayo inajirudia kila siku na kila mara tabia hiyo inamuangusha au...
16 Reactions
123 Replies
666 Views
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini...
9 Reactions
68 Replies
728 Views
Habari za ijumaa! Leo sina mambo mengi. Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu...
17 Reactions
55 Replies
377 Views
Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana...
9 Reactions
11 Replies
195 Views
Kutoka jikooni ,nchibi yupo lock down cm zake zinashikiliwa na mamlaka Alicheza kalata vzr ila Amesalitiwa mwishoni Huo ndo ukweli
7 Reactions
23 Replies
400 Views
1. Job Ndugai 2. Humphrey Polepole 3. Emmanuel Nchimbi 4. Tulia Atson 5. Philip Mpango 6. Josephat Gwajima 7. Joseph Sinde Warioba 8. Anna Tibaijuka 9. George Simbachawene
5 Reactions
6 Replies
120 Views
Wala sina mdaaa Ushauri nii huuu WATANGANYIKA WALIOKO CCM TUHAME TUHAMIE CDM TUKAIPIGANIE TANGANYIKA NAWAHAKIKISHIA ASUBUHI TUU TUNAPATA TANGANYIKA HURUU KABISA. Sitaki ushaurii nimeamua...
1 Reactions
2 Replies
36 Views
Hilo jambo linanitatiza sana mwezi uliopita nilikuwa zanzibar nikapata kibinti cha kipemba sasa ile nimekileta magetoni nakivua ushungi hivi asee sikuamini yaani kichogo hakuna ni flat screen ila...
8 Reactions
25 Replies
334 Views
Kwa mfano mtu akiiba, atafukuzwa na kupigwa hadi kufa. Huyo mtu anaweza kuwa kaiba labda kwa sababu ana njaa, au kakosa namna ya kupata pesa halali. Ni sawa, ila kwanini binadamu kayaweka maisha...
9 Reactions
52 Replies
280 Views
Mimi ni mmoja wa watumishi chini ya Wizara ya Afya. Niliomba mkopo wa Hazina kupitia portal husika tangu mwaka jana, lakini ombi langu, pamoja na ya watu wengine ninaowafahamu tuliomba pamoja...
5 Reactions
26 Replies
511 Views
Familia ambayo nilitokea haikuwa ni familia yenye uwezo, nakumbuka baba yangu alistaafu akiwa na miaka 40s na kipindi hicho nilikuwa mtoto wa miaka 10 hivi. Maisha hayakuwa rahisi kipindi hicho...
5 Reactions
6 Replies
90 Views
Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu. Biblia SIO NENO LA...
23 Reactions
553 Replies
3K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia mafuriko ya Nepal yanayofahamika kama flash floods yalivyosomba makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mali, majumba, miundo mbinu na zaidi hasa maisha ya watu wengi...
2 Reactions
1 Replies
85 Views
Laws and Principles za physics hapa duniani ndio kila kitu ,hakuna jambo lolote ambalo binadamu wa kawaida anaweza akalifanya bila physics kutumika. Watu pekee ambao wanaweza wakaishi bila...
7 Reactions
89 Replies
9K Views
Ona wanacho kufanya hawa madj wa Nigeria kutoka vituo mbalimbali vya Radio nchini mwao kwa kuinua Ngoma Home boy ya Mtanzania Civilian-Coin kwa furaha kubwa...
4 Reactions
11 Replies
108 Views
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi...
18 Reactions
644 Replies
80K Views
Hivi inakuaje bandari kavu zinafunguliwa kila mahali? Kwa sasa Tabata nayo imekuwa kama kurasini kila mtaa kuna malori. Viongozi wa mitaa hawapo? Mipango miji hawapo? Tuspoangalia hili litakuwa...
3 Reactions
7 Replies
141 Views
Yaan una kuta kijana wakiume ana piga picha ana funua shati ana onyesha boxer for which reason au kavaa kata k kiasi kwamba akiinama makalio yapo njeee nashindwa kuelewa kabisa na unapo jaribu...
8 Reactions
49 Replies
391 Views
Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu safari za ndege ambacho wengi wetu hatukifikirii. Ndege kubwa za abiria kama Boeing 737 zinaweza kusafiri katika mwinuko wa karibu futi 34,000 (34,000 ft)...
2 Reactions
4 Replies
106 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…