Akiwa anazungumza hivi karibuni content creator kutokea Kenya Cassypool amesema:
"Lazima tuketi tuongee umuhimu wa amani kwenye kanda la Afrika Mashariki ni juhudi zetu kwa pamoja kuongea na...
Automatically upinzani umejifuta wenyewe.
Kitendo cha wapinzani kuleta vurugu kwa makusudi kisha waishitaki nchi nje wapate kusaidiwa kuitoa CCM madarakani ni kama vile mtu ashike kisu kwenye...
Azam Media Group inalaani vikali matukio yaliyojitokeza leo katika Uwanja wa Dandora, jijini Nairobi, Kenya, wakati wa matangazo ya moja kwa moja ya mechi kati ya Nairobi United FC dhidi ya Gor...
Unafahamu sio nchi zote husherekea Sikukuu ya Krismasi Desemba 25?
Wakristo wengi wa Madhehebu ya 'Orthodox' nchini Urusi, Ulaya ya Mashariki pamoja na nchi zilizopo Mashariki ya Kati...
Unajua tofauti kati ya JKT ya Mwalimu na hii ya sasa?
JKT ya mwalimu ilikuwa sehemu ya kuishi, kufanya kazi, kujenga taifa, kuwa mtu huru mwenye taaluma na hadhi.
JKT ya sasa ni sehemu ya kubana...
Sikiliza sasa…
JKT ile ya Mwalimu haikufa, hapana.
Ile taasisi ya kujenga taifa - iliwekwa chumba cha giza, ikafungwa taa, halafu ikafunikwa shuka ili ionekane imekufa.
Lakini bado inavuta pumzi...
Siyo lazima Kila kitu kianzishwe na wazungu tu la hasha hata sisi tunaweza kukianzisha na Bado kikawa sawa.
Chukulia mfano hizi taasisi za kifedha tunazichangia Kila siku iendayo Kwa Mungu mapesa...
Wapendwa naomba mnisaidie mawazo ya Nini nifanye ili niweze kupewa passport yangu,inazaidi ya mwezi sasa yangu niombe,na uhamiaji wanataka nipeleke barua kutoka kazini kwangu,Jambo ambalo ni gumu...
Herini ya Sikukuu ya Noeli wale wote wanaosherekea siku hii nzuri ya kuzaliwa kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo.
Ni mwendelezo wa kauli za kibaguzi zenye mlengo wa kuibua chokochoko za kidini ila...
Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani
Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali...
mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
Vijana wenzangu pambaneni bila kukataa tamaa hakika inawezekana, niliacha kazi ya kuajiriwa mwaka 2016,
Nilipitia magumu, lakini sikukataa tamaa
Hakika safari ilikua ndefu sana,yenye Kila aina ya...
Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu...
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku
Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi
Uzuri nakula bia na nyamaa
Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu
Jana...
Msimu wa Christmas huwa ni mvua
Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
Habari JF members
Nimeona leo nielezee tabia ya kukurupuka ilivyonipa hasara mara kadhaa. Nimejifanyia tathmini nkagundua huwa nikitaka kufanya jambo lolote huwa napenda nilifanikishe kwa haraka...
Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya
•tuache matendo mabaya,
•tulipe Kodi,
•tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI
•tuache uchonganishi na upotoshaji...
Baada ya kifo cha Mtume katika vitabu vya historia na riwaya, kumeandikwa kwamba Sayyidina Talha bin Ubaydillah ( mmoja wa Maswahaba kumi waliobashiriwa Peponi ) alitajwa kuwa aliwahi kutamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.