kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni...
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Hemed Jalala, amewatakia Watanzania wote, hususan waumini wa dini ya Kikristo, heri ya Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa duniani kote kama...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika...
Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings
Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza
Mwajiriwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewataka wananchi kuchukua tahadhari za kiusalama katika kipindi hiki cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya huku likiwataka kuondoa hofu kutokana na Jeshi hilo...
Baada ya juzi kupitia mtandaoni, nikaona WAPALESTINA wakristo wakijiandaa na sherehe za xmass nika shangaa hii kumbe Kuna WAPALESTINA wakristo, swali wanaishije na waislamu au wanaishi Israel?
Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi...
Wapambanaji na wafurukutwa habari ya jioni.
Naomba kujua kuhusu biashara ya hewa ukaa kwa uzoefu katika maeneo yafuatayo:
1. Maana ya biashara ya hewa ukaa.
2. Vitu vya kufanya ili ukidhi vigezo...
Watanzania ifike sehemu Tupunguze unafiki tukiamua kupenda unafiki basi tukomae nao bila kuficha,
Na tukiamua kuacha unafiki Tuache bila kuficha...
Kiwango kikubwa hicho cha unafiki huwenda...
Helikopta ya kampuni ya uokoaji Kilimediair Aviation imepata ajali katika Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania na kusababisha vifo vya watu watano, wakiwemo raia wa kigeni wawili, rubani na daktari...
Moshi ni kama Ulaya tu nenda uchagani na upareni kule Usangi uone maendeleo
Nenda chuga uone
Watu wa kaskazini maendeleo hayakuletwa na hizo serikali zenu haramu
Sisi hatuongozwi kizembe na mtu...
Lazima tuulizane maswali yenye mantiki hapa. Tulienda shule ili tupate ufahamu tusibaki kule au kuwa walewale wa zamani au kama babu zetu wa enzi zile.
Usomapo Biblia hasa kuhusu uzuri wa...
Nchi hii Rais Kikwete aliweza kufungua uchumi uende kwa wananchi, ndipo Watanzania wakafungua makampuni kwa wingi, watu walijenga mpaka maghorofa, biashara zilianzishwa, nyumba za kisasa Tanzania...
Hapa Mbezi Luis kwa Yusuf Kuna mzunguko ambao magari yote yanagawanyika,yanayotolka Kibaha, yanayotoka kinyerezi,yanayotoka Mpigi magoe yanayotoka stendi ya Magufuli yote yanakutania hapa,sasa...
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.
Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume
Unakuta...
"Yesu akasema, ‘Waacheni watoto wadogo, wasiwazuie kuja kwangu; maana waliumbwa kwa namna hiyo Mungu anawatawala.” Fikiria Watoto hawa walikua hawakubatizwa. Hawakumwamini mwokozi aliyesulubiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.