Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo...
Narudia tena kama GENTAMYCINE tarehe 29 Oktoba, 2025 ninatiki kwa Rais Samia na CCM yangu Wewe ni nani usiniige?
ANGALIZO
Kama una Stress / Frustrations zako zenye Lundo za Hasira na Chuki za...
Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu...
Hayawi hayawi yamekua. Udugu kesho ndio ile siku yetu. Tumesikia wakibweka siye yetu vitendo. Wanasema wao ni zirail.
Siye twataka tuone kesho watavuta roho ngapi. Tutaanza baada ya swala...
Amani ya YESU KRISTO iwe nanyi ndugu Watanzania wenzangu
Naomba kutumia fursa hii kumtambulisha kwenu Yesu Kristo MFALME WA AMANI
ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa...
Merry Christmas to this amazing family that I have, am taking this moment to appreciate every soul that by one way or another been there to support me in the hardest and darkest time, sijasahau...
Kwa mlio kuwa UDSM kati ya 2006/2007 hadi 2009/2010 nadhani mtakuwa mnakumbuka huyu jamaa, anaye enda kwa jina la KAEMBA KASINYE KATUMBO a.k.a TRIPLE KA. Alikuwa ana soma...
JE! WASABATO HUSHEHEREKEA KRISMAS?
RAIS WA SDA DUNIANI, PASTOR TED WILSON ANAJIBU.
SWALI: Mchungaji Wilson, najiuliza ikiwa Wasabato husherehekea Krismasi?
JIBU: "Kama kanisa, hatuna taarifa...
Heri ya Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya ndugu zangu tunashukuru kama tumefika hapa basi tuzidi kushukuru pia najua wengine mnajianda kwa kwenda mkesha kanisani! ni vizuri wengine tutaenda...
Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kubadili majina yake rasmi kupitia Deed Poll paka kufikia hatua ya kupata uthibitisho wa pale dead poll ya ardhi
Nimeshapata Deed Poll tayari...
Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu
Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate...
Salaam wakuu, kuna nyakati binadamu tunapitia mengi katika Safari yetu ya maisha ya kila siku.
Ziwe nyakati nzuri au mbaya, basi kuna funzo muhimu huwa tunalipata katika maisha yetu.
Je, huwa...
Tayari magari ya kurusha maji washa washa kimara yameshawasili hii ni woga tuu ya waandamanaji kesho
Poleni sana askari wetu kwa kufaidisha mbu usiku wa leo
Fundisho lote la upatanisho na kusulubiwa linategemea: Dhana ya uongo kwamba Mungu hawezi kusamehe bila damu, ambalo ni Pingamizi la wazi kwa Agano la Kale.
Uvumbuzi wa kithiolojia ulioletwa na...
TAARIFA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI
TAARIFA YA UPUNGUFU WA HUDUMA YA MAJI
6.12.2025
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawataarifu wateja na wananchi...
Wananchi wanachoteseka Kibaha - Pwani
Takribani mwezi mzima sasa, maeneo mengi ya Dar es Salaam na Pwani, yamekumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi. Kibaha - Pwani Mitaa mingi...
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam...
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.