Huu ukimya wa watu mitaani unashangaza kidogo.
Baada ya mauaji ya tangu October 29 nilitegemea wengi watakuwa desperate sana na hali ya nchi ikawa mbaya zaidi ya yale maandamano.
Lakini badala...
Baada ya Wananchi na Wafanyabiashara kulalamika kuhusu hali duni ya mazingira katika Soko la Bombambili, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Abbas Ahmed Abbas amefanya ziara ya kukagua soko...
Nitaandika kwa kifupi sana hii mada.
Kuna vijana wanajitafuta kutoka kiuchumi ili kukizi mahitaji muhimu kama chakula, malazi(nyumba), na mavazi kwake binafsi, familia, ndugu n k.
Sasa...
Hapa naongelea Tanzania nzima, sio tu Tanganyika
Yani naongelea hii nchi yetu yote (Tanganyika+Zanzibar) ambayo imebakiza miezi minne kusherehekea miaka 62 ya Muungano
Katika vitu vifuatavyo...
Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu.
Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food...
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia...
Habari Tanzania !
Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo.
Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa...
Haiti 🇭🇹 kati ya nchi ngumu sana kutawalika, wale kuua waziri mkuu, rais ni kitu cha kawaida sana.
Tatizo lao kuu ni Magenge, Haiti kuna magenge hatari mengi sana tena wanamiliki silaha nzito...
Hii tume tuliipinga ina upendeleo. Tume imejaa wazee.
MO 29 ilihusisha kundi kubwa la vijana (Gen z) wakiwa na Masai Yao Kwa serikali kama kupinga uchaguzi wa ulaghai, utekaji na mauaji, nepotism...
Watu wanakufa sio kwa kusingizia sijui mungu kapanga ni uwongo.
Wanaopanga vifo mfe ni hizi hospital zetu za serikali asilimia kubwa.
Yani mtu unaumwa na pesa umekosa au ujatoa kidogo wakuokoea...
Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume.
Vijana wale kutoka Parokia mojawapo...
Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Najaribu kuiweka hapa ile video ya ya mama Samia ya kuwaondoa samaki ndani ya ziwa Victoria Kisha awaweke mamba na akina mama kwa pamoja...
Miadhara ya sasa imekuwa kidogo ambayo inajenga hoja na watu wakatoka wanashirikiana bila kugombana.
Ila miaka kuanzia 90s ilikuwa na ukali sana yani hakuna neno ambalo tujalisikia kwa kukashifu...
Tunajua mnapambania ugali wenu ila hii vita yenu na serikali ni ya hovyo.
Kwa sasa mnasema waliouwawa ni 10,000 kutoka elfu moja ( 1000) mnadhani binadamu ni sisimizi. Idadi hii hata kwa kiziwi...
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.