Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa...
6 Reactions
15 Replies
339 Views
Enzi za awamu ya tano mambo yalikuwa mchakamchaka kila siku unapata sababu ya kuishi ila siku hizi kumepoa sana hakuna wa kuchangamsha maisha, hakuna ziara za kushtukiza wala kutumbua majipu ni...
9 Reactions
7 Replies
243 Views
Hili swali nimeuliza mahsusi kwa sababu. Atleast nchi kama Japan wameipa dunia gari aina ya TOYOTA. KOREA wameipa dunia products za Samsung Na hata Russia wameipa dunia AK 47 N K Sasa sisi...
4 Reactions
15 Replies
221 Views
Kwanini baadhi ya Mitaa imepewa majina ya lugha/kabila afu baadhi ya lugha/makabila hayana Mitaa. Mfano.. Kuna Mtaa wa Nyamwezi, Sukuma, Swahili n.k ila hakuna Mtaa wa Kurya, Kinga, Makonde n.k.?
2 Reactions
2 Replies
274 Views
Mshauri wa Sheikh Mkuu Mzee Azim Dewji amesema Krismas mwaka huu itumike kutoa mafunzo kwa Vijana maana Miongoni mwa kazi za Taasisi za Dini ni kutoa Mafunzo ya Maadili mema kwa wananchi kwa...
8 Reactions
15 Replies
379 Views
Kuna makosa mengi kwa sisi tunaojenga au kupanga maeneo. Kama sehemu ya mwenzako kaweka uzio ambao ni ukuta inatakiwa na wewe kutumia uzio huu kuzibiti vichochoro visivyokuwa na tija.
7 Reactions
5 Replies
255 Views
Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
3 Reactions
3 Replies
193 Views
Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
0 Reactions
3 Replies
211 Views
Taarifa zilizotufikia hivi punde (leo, Jumatano Desemba 24.2025) zinaeleza kuwa Baraka Chacha aliyekuwa gerezani akishtakiwa kwa kesi ya uhaini amechiwa, na sasa yuko nyumbani kwao Buza Kwa Mama...
2 Reactions
6 Replies
300 Views
Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana...
1 Reactions
14 Replies
321 Views
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi Uzuri nakula bia na nyamaa Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu Jana...
7 Reactions
27 Replies
533 Views
ITV hivi kwanini hamtumii HD mi siwaelewi mjue japo na nyie Sasa ni ITVCCM ila jitahidini muwe HD bana. Mnashindwa na pacha wenu TBCCM?
9 Reactions
24 Replies
467 Views
Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za...
1 Reactions
11 Replies
289 Views
Nilivyosema ishu ya maji ilikua ni plan ya kututoa kwenye reli ya D25 mlinielewa? Nilisema mapema hii ishu, kwamba hakukua na upungufu wa maji wala nini....Maji yalifunguliwa Ruvu yote kwa...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Zingatio 1: Simo katika kabila lolote kwenye hii orodha, sina mgongano wa kimaslahi wa kunifanya kupendelea ama kuchukia makabila niliyotaja. zingatio 2: kuwa ndani ya haya makabila haimaanishi...
20 Reactions
239 Replies
31K Views
Kila kuitwapo leo naamka saa kumi na moja asubuhi naenda kazini Magomeni ila nakaa Vingunguti kwakuwa usafiri mida ya usiku wa saa tano huwa ni mgumu kupata basi inanilazimu kupanda Gari za...
14 Reactions
43 Replies
11K Views
BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi...
16 Reactions
84 Replies
7K Views
Embu kwanza nicheke Yani ni kituko kama unaangalia sinema za Dj mack Uzi tayari
9 Reactions
47 Replies
888 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
104 Reactions
372 Replies
31K Views
Imeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa...
2 Reactions
13 Replies
312 Views
Back
Top Bottom