Jeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 ikielezwa kuwa ni baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha...
Iko hivi: kwenye Biblia kuna viashiria kadhaa vya kuaminika vinavyoweza kutupatia mwaka na mwezi Yesu aliozaliwa.
Pia, vipo viashiria kutoka kwenye Biblia vinavyotuwezesha kujua mwaka Yesu...
Katika Dunia hii, mara tu unapojitambua, kuna mambo ambayo mtu yanaweza kukukuta ni vigumu kuamini macho yako kama binadamu mwenzako anaweza kukutendea
Kuna wakati, kwa sababu ya mambo magumu na...
Hii kauli ameitoa mama mmoja kwa uchungu.......tupo maelfu wa wazazi tunaugua mioyoni pasipo kutamka.
ENYI WAHUSIKA MLIOTENDA HAYO...
HAKUNA NAMNA MTAKWEPA HII LAANA.
Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote...
Tofauti ya dini ya Kiislamu na Kikristo katika Sheria ya Ndoa kifungu cha Talaka
Sheria ya Kiislamu inasema Talaka itolewe wakati wowote baada ya wanandoa kushindwana
Sheria ya Kikristo inasema...
Wakuu niajee,
Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu.
Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye...
ideo ni sauti ya Padre Dominic Mavula C.PP.S akisoma taarifa ya uteuzi wa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Mhashamu Prosper Baltazar Lyimo kuwa - Askofu mpya wa kwanza Mwanzilishi wa...
Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana.
Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa.
Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia...
Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo.
Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda.
Hata hawa mashetani wanaoibuka...
Nitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo huyu kiumbe anayeitwa Paulo Makonda ana mikono michafu a.k.a Bashite nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana...
Zaidi ya watu 602 waliopoteza miguu au mikono kutokana na sababu mbalimbali wamerejeshewa tabasamu baada ya kupatiwa viungo bandia bure katika kambi maalum ya utoaji wa huduma hizo iliyoandaliwa...
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda mfupi uliopita (leo, Jumatano Januari 07.2026) raia wa China waliokamatwa Oysterbay jana (Jumanne) wakiwa na 'mabilioni' ya fedha...
Kweli dunia hadaa
Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe.
Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule...
Ni kuuliza tu si kwa ubaya.
Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu.
Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini...
Naam Naam Wana Board
Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu
Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu...
Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni...
Navutiwa sana na biashara zinazohusu madini, kuanzia uchimbaji Hadi uuzaji.
Tupeane uzoefu kwa walioko kwenye sekta hii , mfano nikitaka kufungua kampuni ya kuchimba madini taratibu zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.