Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limewakamata watu wanne wanaoendelea kuhojiwa kwa tuhuma za unyang’anyi, kujeruhi na kupora watu barabarani.
Kwa mujibu wa taarifa ya Januari 8, 2026...
Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini
Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo...
Kwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF.
Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo...
Binafsi sielewi kinachoendelea nchi ya Congo kisiasa
Kinachoonekana ni kuwa Wananchi wake wanateseka sana
Rais wao mara nyingi anaonekana akiwa kimya pengine labda anajitahidi lakini anazidiwa...
Askofu Gwajima atoa cheti cha Daudi Albert Bashite (S0546/0016) na kusema kuwa alipata F masomo yote ya Sekondari hadi Bible Knowledge.
Matokeo hayo ni ya Kidato cha nne, Shule ya Sekondari...
Baraza la mitihani Tanzania kwanini lina puuza taarifa za vyeti feki vya mkuu wa mkoa Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Paulo Makonda ilihali jina lake halisi ni Daudi Bashite?
Watanzania...
Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali...
Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa...
Mvua zinaponyesha mahali mbalimbali maji yake mengine hunywea chini ya ardhi, mengine hutelemka kuelekea bondeni kama mito, maziwa na bahari lakini yaliyo mengi pia hutwama.
Maji yaliyotwama...
Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka...
Nina mifano mingi sana. Hata Mimi mwenyewe nimefeli mambo mengi sana kwa kutokuwa msiri.
Mama mmoja hapa mtaa wa pili ana kaeneo kakubwa kidogo, ni maskini wa hoe hai.
Alitokea mtu ammegee eneo...
Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha...
Mungu tusaidie jamani
Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni.
Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3...
Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake...
Mimi roho ina niuma sana jinsi ukipita chato unaona kabisa alafu NIT wanataka wakajirundike Airport ya dar na hapo hapo wawe na chuo kikubwa.
kwa nini msichukue hapo.😔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.