Mwigizaji Joyce Mbaga (32) maarufu kama 'Nicole Berry' leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es salaam amesomewa mashtaka matatu ikiwemo kuendesha genge la uhalifu na kupokea...
"Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya...
Naongea na wanaume tu Leo
Tabia ya kuomba ovyo haifai
Unajishushia brand
Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio...
Nadhani ni ukosefu wa uelewa
Sielewi wanachogombania Wakristo na Waislamu ni kitu gani
Kila siku kelele za Waislamu wamefanya hivi mara Wakristo wamefanya vile
Tofauti ya hizi Dini ni Lugha na...
Tabia mbaya kama hii ya raisi Kagame kugeuka makubaliano sana sana inafanywa na watu wasiokuwa na elimu lakini kwa msomi kama Kagame pamoja na cheo chake kuwa na tabia kama hii ya kukiuka...
Salaam, Shalom!!!
Ulimwengu wa sasa una hadaa nyingi sana,
Watu wanaandika waraka, terminology nyiiingi, chenga za kutosha kufunika dhambi.
Marriage/ NDOA, ukitaja tu neno Hilo picha Inakuja ni...
Kuna watu wangu wa karibu wananilaumu siwatafuti kuanzia mashemeji zangu mpaka na familia yangu wanasema siwapigii simu.
Mfano mashemeji zangu wengine Sina hata namba zao.
Shida hata nikiwapigia...
Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana
Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa...
Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina...
Kukamatwa kwa wachina wakadai bilioni 6 sijui walihesabu vipi baadae taarifa inasema bilioni 2 wametangaza labda wamechota wakati wa kubeba.
Sasa unapotaka sheria embu fanya hivi ingia nyumba za...
Kukamatwa kwa wachina wakadai bilioni 6 sijui walihesabu vipi baadae taarifa inasema bilioni 2 wametangaza labda wamechota wakati wa kubeba.
Sasa unapotaka sheria embu fanya hivi ingia nyumba za...
Katika mtaa wa Sikukuu, hali ya mazingira imeendelea kuwa mbaya kufuatia chemba za maji machafu kujaa na kutema maji yenye uchafu kama inavyoonekana kwenye picha hapa, hali iliyosababisha maji...
Kuna watu mpaka sasa ni kama hawawafahamu Marekani .
Ukiona wamevamia nchi fulani kama Venezuela ujue ni Economic interest and nothing else.
Ni muhimu kuendelea kutatua matatizo yetu sisi kwa...
Kwenye imani yenu mnasherekea sikukuu ya kuzaliwa mtume wenu Muhammad wala hakuna kosa lolote wakristo walisema ni kosa kwao.
Huku kwenu mumekuwa na makatazo sana kwamba kusherekea happy birthday...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.