Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hizi ni tetesi Nasikia kuna tajiri mwenye magari mengi hapa mjini Morogoro, na magari yake yote huoshwa na kusafishwa nyumbani kwake pekee. Inadaiwa kwamba mchanga unaobebwa na abiria kwenye...
16 Reactions
86 Replies
4K Views
Tarehe 12 nataka kuona lile gwaride la kupasua matofali kwa kichwa na mazoezi ya kuokoa mateka. Baada ya hapo wakalale polisi waendelee na doria.
18 Reactions
79 Replies
1K Views
Hii imenishangaza sana. Ni miaka minne mfukulizo. Pengine inaweza kuwa zaidi kwa kuwa sikufuatilia kabla. Natumia usafiri wa pikipiki. Sasa nikishapata ajali au kuanguka na pikipiki, basi sipati...
16 Reactions
91 Replies
1K Views
Hofu ni hisia kutokana na akili kwa kitu au hali fulani inakuaje. Asilimia kubwa ya hofu ni mawazo hasi. Japo hofu huweza kukuepusha na hatari au kukupa mafanikio. Hofu inafaida wakati mwingine...
4 Reactions
2 Replies
294 Views
Kama kichwa cha habari kilivo hapo mnaweza kumtambua nani na nani mimi nimemtambua Nyerere na Mzee Mshumi Kyate. Huyu mzee Kyate alikuwa mvuvi ndio alikuwa ana jukumu la kulisha familia ya...
3 Reactions
9 Replies
190 Views
Hizi Halmashauri bila shaka ziliundwa Kisiasa,napendekeza Zifutwe haraka . Kati ya halmashauri 184 nchini, hizi hapa halmashauri 10 zenye makusanyo ya ndani kidogo 2023/24: 1. Bumbuli DC -...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Kuanzia Agosti mpaka October 29 2025 CHADEMA na upinzani baada ya kususia uchaguzi na kuona kuwa mbinu hiyo haitaleta tija kwao wakaja na mbinu ya kuhamasisha vurugu kali. Waliorganize vizuri...
1 Reactions
15 Replies
254 Views
Habari za wakati huu watanzania wote kwa ujumla. Moja kwa moja katika mada.Kumekuwa na maoni na mijadala mingi kuhusu mwenendo wa kanisa katoliki(RC).Kuna malalamiko ambayo yanasemekana yanatoka...
8 Reactions
17 Replies
409 Views
Habari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo. Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina...
2 Reactions
14 Replies
369 Views
Ukifuatilia makabila yanayoanya tohara bado yapo nyuma sana kimaendeleo
2 Reactions
26 Replies
454 Views
Nikiwa natembea sokoni (maeneo mengine huitwa gulioni au mnadani), katikati ya soko kulikuwa na kinjia (vile vinatengenezeka kwa watu kupita eneo hilo mara kwa mara). Kinjia hicho kilikuwa...
1 Reactions
0 Replies
203 Views
Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea...
3 Reactions
10 Replies
226 Views
Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni...
42 Reactions
381 Replies
14K Views
Salaam, shalom!! Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba, Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na...
5 Reactions
117 Replies
3K Views
Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake...
5 Reactions
22 Replies
556 Views
Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu. Kama ambavyo Mungu...
3 Reactions
17 Replies
493 Views
TAKUKURU YAKAMATA RAIA WA CHINA WAKIWA NA FEDHA HARAMU ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MBILI Kinondoni, Januari 7, 2026 Ndugu Wanahabari, Taarifa ninayoiwasilisha kwenu leo, inahusu ma to keo ya...
1 Reactions
12 Replies
466 Views
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) katika utekelezaji wa majukumu yake ya kisheria, imebaini kuwa kuna baadhi ya watu wasio na sifa wamerejea kutekeleza majukumu ya kiharibi baada ya...
1 Reactions
3 Replies
256 Views
Back
Top Bottom