Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tafadhali kabla ya kuchangia huu Uzi hakikisha Akili zako zimekaa sawa na zipo na kamwe usiukurupukie Kuujibu Oky?
2 Reactions
6 Replies
214 Views
Growing up, nilitambua dunia inamtaka mtu alie honest, mnyenyekevu na mchapakazi HAPANA SIKUWA SAHIHI, dunia inataka mtu alie mchapapakazi, ruthless na aggressive. Kwa wale wa asante mkapa...
11 Reactions
15 Replies
342 Views
Wahuni hawana mdaaa As well as huuelekeee kuwa karibu nao na huendani na matarajio yao Shwaaaaaaaaa. Wewe sio chawa. Shwaaaaaaaaaa. Eti huyu dogo katambi ana misuli ya kutosha wizara mambo ya...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni...
3 Reactions
3 Replies
228 Views
Nimepita kariakoo jamaa kaniuzia haka ka dubwasha ka kunyolea....kna charge yake. Tatizo ni sioni sehemu ya ku switch on
1 Reactions
9 Replies
290 Views
Soma ata ufundi mbona unalipa ,uvivu tu kelele kibao ajira hakuna kwaio serikali iajiri wangapi? Use brain Emu pitia hizo kozi za ufundi tena ada himilivu kabisa
2 Reactions
70 Replies
662 Views
Tazama tofauti kati ya maandano ya "wakatoliki" na "wanaojiita wakatoliki"
3 Reactions
1 Replies
174 Views
Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao...
2 Reactions
3 Replies
259 Views
Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Naomba unisaidie kuuliza ni lini vijana waliofanya kazi ya kuchukua maoni kwa mfumo wa viva wakati wa uchaguzi mkuu watalipwa pesa zao, kwani bado hawajalipwa na kila wakiuliza hakuna majibu.
2 Reactions
2 Replies
175 Views
EE MUNGU BABA SIKIA SALA YANGU NAOMBA A ALE WOTE WENYE NGUVU NA UWEZA WA KUJISAIDIA VILE VYOO NILIVYOVIONQ MIE LEO HIO PALE MBEZIUWAPE TKT YA MOJA KWA MOJA KUFIKA KWAKO BABA MAANA WANAYOPITIA...
2 Reactions
3 Replies
207 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa hizi mita mpya ni unyonyaji sana kwani umeme haukawii kuisha. CCM ni wanyonyaji sana kwa watanzania.Kwakweli inahitajika nguvu kubwa na mapambano kuwaondoa hawa...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Anonymous (6684)
Nina ushauri wangu kwa Serikali kuhusiana na barabara ya treni (Reli) ya kuzunguka hapa Mjini Dar es Salaam inatakiwa kufanyiwa marekebisho au maboresho kwani ni muda sasa sijaona ikifanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Anonymous (6deb)
Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Anonymous (6684)
Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu...
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Anonymous (6684)
Jamani sisi Watumishi wa Wizara ya Ardhi tunapoomba fedha kwa ajili ya nauli ya likizo hatupati malipo kwa wakati, yaani unakuta mtu unaenda likizo mpaka unatoka likizo bado hujalipwa. Hii...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Anonymous (a00f)
Ninaishi Arusha, Mtaa wa Sanawari changamoto iliyopo ni kwamba gari la taka halipiti kwa wakati na mamlaka ziko kimya ilihali ushuru wa taka mara ifikapo tarehe 1 tu ya kila mwezi wanagonga hodi...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani...
2 Reactions
1 Replies
151 Views
Back
Top Bottom