Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niwaambie Mungu hakuna kitu anapanga hapa duniani Mungu hapangi watawala wa kisiasa Wala kidini. Dini zote nimeletwa na wanadamu na zinawatumikia wanadamu. Nawaambia hata vifo vyote vinatokana...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883...
2 Reactions
9 Replies
257 Views
Kama habari inavyojieleza, Makonda hakustahili kuwa Waziri kamili, kwanza hana uzoefu wa kutosha bungeni, pili amehudumu unaibu Waziri kwa miezi michache tu. Tatu wizara yenyewe haiendani na...
2 Reactions
12 Replies
351 Views
  • Redirect
Unafatilia ukiwa wapi? live imefikisha watu karibia laki hadi sasa hii ni nomaah Mambo yameiva, naona wameunganisha mitandao yote Kuanzia Instagram kupitia Nuruvazi, Facebook, Tiktok, Discord...
0 Reactions
– Replies
– Views
Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na...
12 Reactions
50 Replies
1K Views
===== Msomaji, vema pia ukasoma hapa > Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa! ===== Makonda hua anafika office za clouds mara kwa mara. Siku zingine...
118 Reactions
2K Replies
226K Views
Damu ni nzito kuliko maji, Damu haipotei kirahisi, kuna watu wenye miaka zaidi ya 40 wanatafuta wazazi wao hasa kina baba hata kama wanajua waliwakimbia, watu wanahitaji kuzijua asili zao, kuwajua...
5 Reactions
28 Replies
597 Views
Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
5 Reactions
15 Replies
311 Views
Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limeutaarifu umma, wanachama wake, washirika, na wadau kuhusu mabadiliko ya uongozi wa Shirikisho. Oktoba 3, 2025, Baraza la Uongozi la TPSF...
2 Reactions
10 Replies
299 Views
Tehran, Iran imekuwa uwanja wa mapambano makubwa ya kifikra, kihistoria na kibinadamu baada ya waandamanaji kuangusha nembo kuu ya utawala wa kiislamu (theokrasia) unaotawala taifa hilo kwa miongo...
1 Reactions
2 Replies
155 Views
Huyu dada anaitwa Brenda Aubin Vega kutoka Quebec nchini Canada alishinda bahati nasibu mwaka jana mwishoni Alikuwa na option ya kulipwa dola Milioni 1 mara moja au awe analipwa dola 1, 000...
4 Reactions
12 Replies
401 Views
Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani. Je dini zinafundisha ukweli , ? Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha...
16 Reactions
110 Replies
3K Views
Ilinishangaza kidogo wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko...
2 Reactions
12 Replies
383 Views
1. Nani ndiyo Mshauri Mkuu wa Rais Samia? Je, na huyo Mshauri wake Mkuu ana Akili sawa sawa kabisa Kichwani? Watanzania tungewekewa wazi tumjue ingetusaidia sana kwani huenda Yeye ndiyo tatizo...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Dunia inatakiwa itambue na inatakiwa ikiweke hiki chama katika list ya terrorist organizations ,hakina sifa ya kuwa political party zaidi ya kuwa terrorist organization
13 Reactions
22 Replies
385 Views
Tunaye rais mwenye huruma kwa watanzania na hapendi fedha za dhuluma (alisema Mwigulu), awasamehe tu hawa watanzania jamani :BBRUHH: ========== Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Vicent Anney ameagiza...
0 Reactions
4 Replies
218 Views
Heri ya mwaka mpya kwenu wanajukwaa wote. 2026 ukawe mwaka wa baraka na fanaka! Tuma salamu za mwaka mpya kwa mwanajukwaa yoyote ambaye ungependa kumtakia heri.
15 Reactions
61 Replies
762 Views
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa mnamo tarehe 06 Januari 2026, Kampuni ya Nestlé nchini Uholanzi (Netherlands) ilichapisha katika tovuti yake taarifa ya kusitisha...
0 Reactions
3 Replies
356 Views
  • Redirect
6 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom