Cleopatra 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 210
- 306
Baraza la mitihani Tanzania kwanini lina puuza taarifa za vyeti feki vya mkuu wa mkoa Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Paulo Makonda ilihali jina lake halisi ni Daudi Bashite?
Watanzania wenzetu wengi waliokuwa watumia vyeti visivyo vyao wameachishwa kazi, na Necta wakatoa tangazo yeyote mwenye taarifa za mtu anaetumia vyeti ambavyo si vyake atoe taarifa necta chakushangaza kwa huyu mkuu wa mkoa necta mpo kimya?
Hatuta nyamaza mpaka mchukue hatua vinginevyo warudishwe kazini wote waliofukizwa kazi kwasababu ya vyeti feki.
Nawasilisha.