Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na zoezi la urejeshaji wa nauli kwa abiria aliyeshindwa kusafiri Desemba 31, 2025 jioni na Januari 1- 2, 2025 kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo...
Sehemu ya mahubiri ya Abate Christian Temu OSB ambaye ni mkuu wa nyumba ya shirika la wabenedictine Abassia ya Ndanda kwenye ibada ya kufunga mwaka wa Jubilei kuu ya 2025 (Mahujaji wa Matumaini)...
Nilikuwa naangalia kikao cha Trump live akiwa White house kupitia Aljazeera, Trump alikuwa na makamu, waziri wa mambo za nje, waziri wa nishati pia aliwaalika wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta...
Kama kuna Wizara ambayo ndiyo itakuharibia zaidi ni hiyo hiyo uliyoko kwani ni Wizara yenye kuhitaji Mtu mtulivu, makini na mwenye kujua sana Kuchambua masuala kwani duniani kote Ustawi wa nchi...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri...
Kama msimamizi wa DAR MPYA MEDIA LIMITED (Darmpya Blog&Tv Online) nasisitiza habari iliyoandikwa kumhusu N/W Katambi kuhusu kauli yake kwa vijana wa Tanzania ni maneno yake na hatuwezi kuomba...
Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya
Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa Jamii Forums tarehe 09/01/2026 kuhusu hali ya upatakanaji wa...
Serikali ilishakufa pale kijiti alipoachiwa Raisi Samia, tumeshuudia kila aina ya uchafu, ushezi, ukatili, haki kukosekana, mahakama kuongozwa na watu wachache, polisi kijiamulia watakavyo, vyombo...
Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa.
Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado...
Wiki hii nilikuwa na masikitiko ya kupoteza milioni 3 zenye thamani katika vifaa vilivyoibiwa
Lakini siku ya leo baada ya kuona kuna watanzania wenzetu wenye hali duni kiuchumi wanasota kila...
Aiseee sijawahi kuona maelfu ya watu wengi hivi
Imagine muda huu Mitandao yote ya kijamii imekua connected na kuwa kitu kimoja
Kuanzia Facebook, Tiktok, X, Instagram kupitia account inaitwa...
Ni yule dada maarufu aishiye marekani.
Kutokana na tweet zake za hivi karibuni zinanifikirisha na sio za kupuuzia.
Mara nyingi hutweet akiongea maneno meengi, ila nowadays amekua akiongea herufi...
https://x.com/NiohBerg/status/2009742024384147606
Ndugu zangu hakuna namna ya kuimboa Tanganyika, zaidi ya Kupandisha bendera ya Tanganyika,
hatutaki Muungano, Walizuia Sherehe za Muungano...
Wanaume 127 kati ya 165 waliofanyiwa uchunguzi mkoani Dar es Salaam kuanzia Januari 05 hadi 08, mwaka huu, wamepatikana na ugonjwa wa mabusha.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Mohamed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.