Moja kwa moja.
Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka.
Na wengine wanadai hata...
Katika historia ya dini, moja ya hoja kubwa inayojitokeza ni swali kuhusu chanzo halisi cha mafundisho ya Uislamu, Je, ni ufunuo wa kipekee kutoka kwa Mungu? Au kuna ushahidi kuwa baadhi ya...
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuanza uchunguzi wa kina kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo inayomwonesha raia wa kigeni mwenye asili ya China akiwa na mifuko ya sandarusi iliyojaa fedha...
Mei 16 na 17 2024, JamiiForums iliendesha mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Mikoa pamoja na Maafisa wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Lucy wa Yomba ni Moja wa viongozi wa waliopeleka maandamano kwenye ubalozi wa Vatican na kusoma andiko lao
Amedai amepokea simu na jumbe nyingi za vitisho na Jana alipigwa na kuvunjwa mkono na...
Ishowspeed huyu kijana leo yupo kenya na mfahamu huyu kijana ana wafuwasi wengi duniani kwenye mitandao ya kijamii.
Ishowspeed anaonyeshwa jinsi kenya ilivyo ,kuhusu wanyama,chakula,maisha na mji...
Taasisi ya EF Education First imetoa orodha ya viwango vya ufasaha wa lugha ya Kiingereza ( EF English Proficiency Index) kwa mwaka 2025, ambapo Tanzania imeorodheshwa katika nafasi ya 11 barani...
Elimu ya miaka hii ni changamoto kwa vijana wetu, nna dogo yupo Darasa la nne ,heti madaftari kaunta Quare 2 yanatakiwa kumi na nne(14), dogo wenyewe kana umri wa miaka Tisa tu....
Umri huu na...
Naandika haya nikiwa na uzoefu wa hizi Dini zote mbili na uwezo wa kuzichambua bila bias. Kwa kutumia pia A. M.
Nitaelezea kwa uwazi, bila kutetea, lakini pia bila kuchochea chuki. Tuende moja...
Kuna mda ingekuwa mbinguni tuna enda na kurudi.
Hawa watawala wa ovyo wasingerudia makosa yao.
Leo Mobutu umebakisha kumbukumbu zako kwenye nyimbo za kusifia zinapigwa bar.
Uliyemzima waziri...
Mwezi wa saba Mwaka 2025 kuna raia niliona humu mtandaoni amelalamikia changamoto kuhusu njia ya Makongo Juu kuwa na uhaba wa Daladala, akaeleza kuwa asilimia kubwa ya usafiri uliopo huko ni Bajaj...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekasirishwa na kitendo cha wafugaji Wilaya ya Iramba mkoani Singida kuijeruhi vibaya kwa panga familia ya watu wawili wanaofanya...
Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya...
Kujiendesha hatuwezi kiufupi kama taifa.
Ila wakoloni wa kizungu wangebaki nahisi tungekuwa mbali sana kimaendeleo kama kusingekuwa na vita vya kwanza na vya pili duniani.
Nchi kama south Africa...
Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma.
Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata...
Tuache siasa, udini nk, Tulijadili hili jambo KWA mapana na faida ya wote kwani wote ni wazazi au tunaenda kuwa wazazi Nini chanzo, Ilihali kwa busara na malezi ya Zanzibar hili sio jambo jema, si...
Baada ya kutolewa ndani ya ofisi za Rais na sasa anapelekwa nchi fulani.
Tokea kutangazwa mshajiuliza wale chawa waliokuwa kila kona kumtetea mama na serikali yake kama wamezimika sasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.