Kuna kipindi fulani raisi wa zamani bush alirushiwa kiatu kule iraq na mwanahabari sababu ya maelezo yaliyokuwa yakitolewa.
Huyu wa waziri wa kuchovya mpaka kuwa waziri mkuu sijui kama anaelewa...
TRA msipitwe na gari la mshahara
TRA kataeni siasa chukueni Pesa
TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa
Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya...
Swala hili lina jibu la kihistoria lenye vipindi viwili, si mtu mmoja tu. Nitakuwa wazi na sahihi.
Jibu fupi
Hakuna mtu mmoja aliyekuaja “kuangusha dola ya Kiislamu” yote.
Dola ya Kiislamu...
Hii hapa ni orodha ya viongozi na watu maarufu waliowahi kuwekewa sumu, ikionyesha jina, mwaka wa tukio, na eneo lilipotokea:
---
🧪 Orodha ya Watu Maarufu Waliolengwa kwa Sumu
- Kim Jong-nam...
Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017
Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege...
Jamani, tuelimishane kidogo Chato ni Makazi ya Rais, sio Ikulu ndogo Ikulu ndogo ipo hapa Geita mjini na Chato ni miongoni mwa Wilaya zilizopo mkoani Geita.
Ninachokijua mimi ni kuwa Rais wa...
Katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, mara nyingi dhana ya mtaji imekuwa ikitafsiriwa kama fedha taslimu au rasilimali zinazoonekana pekee. Hata hivyo...
Wiki kadhaa zilizopita TANESCO walikuja kwangu kubadili mita (niliwaita kutengeneza kutokana na mita kuwa inajizima yenyewe, walipoitazama wakasema lazima iwekwe mpya) hivyo wakasema watakuja watu...
Wife yupo Dodoma huko serikalini, nafanya shughuli zangu DSM, tangu enzi za magufuli kuhamisha watumishi nikasema ninunue viwanja kadhaa, ashukuriwe Mungu vingine nilijenga na nilipata wapangaji...
Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA...
Mmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo na magofu hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna?
Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa...
Ni tukio lilitokea kata ya Lulembela mkoani Geita jana majira ya saa 1:45 kuelekea saa mbili usiku eneo la sokoni kwenye kibanda cha M-pesa kwa kijana anaejulikana kwa majina TUMUSIFU HERMAN...
Natumaini mpo salama. Nimeamua kuleta changamoto yangu hapa kwenu kwa sababu jamii forum ni kama familia, na mara nyingi tumekuwa tukishirikiana na kusaidiana katika nyakati tofauti.
Mimi ni...
Hapa tunapoishi jilani siku ya jmosi kama leo kuna vijiwe asubuhi kama leo ndo vinakuamsha kwa mabishano ya mpira wa simba na Yanga, nilikua nawachunguliaga dirishani nikiwa louge, sasa hivyo...
Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani
Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi...
Shalom. Wapendwa,
Heri ya mwaka mpya.
Leo nimewaza tu, nimeona gari moja liko pembeni ya nyumba ya mtu. Limechoka, hakuna matairi, hakuna wht.
Imeandikwa Uda.
Nakumbuka sana huko nyum. Kuna...
Mama (Rais Samia) unataka nikushauri vipi na mara ngapi kuhusu Kanisa Katoliki ambalo Mimi GENTAMYCINE pia ni Muumini tukuka wa hilo Dhehebu na wala sina mpango wa Kuacha kuwa Mkatoliki? Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.