Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa...
Na Mwandishi Wetu.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229...
Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa...
Kwa jina la Utatu Mtakatifu, nakusihi na kukuapiza, samia suluhu hassan wewe muuwaji, mwanamke, kwa jina la Mungu ajuae yote, kupitia Aroni kuhani mkuu, ambaye kwa msaada wake nawashinda na...
Habari zenu, Nashangaa sana ili jukwaa endapo ukiandika uzi wa kuomba msaada. Kama Ada, Huduma za matibabu Moderators huzifuta haraka sana. Na unakuta mtu katoa mpaka baadhi ya info zake ili apate...
Suala la kujiuza ni jambo la udhalili na pia kimaadili halifai, lakini inafika wakati, hali ya maisha inakua ngumu hadi mtu anaona, njia pekee ya kujinasua ni kutumia mwili wake, mdada akiangalia...
Fundisho la Kikristo linasema:
Baba hana mwanzo (hajazaliwa)
Mwana amezaliwa
Roho hutoka (hutoka kwa Baba)
Haya si mafumbo ni maneno ya uhusiano. Yanaeleza asili, chanzo, na utegemezi.
Hivyo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Makamu Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa John Heche, kimezungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama wa chama hicho, na kueleza...
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imeweka msisitizo kwa Hospitali za Serikali wilayani humo, kuhudumia wagonjwa kabla ya malipo ili kuokoa maisha na kupunguza malalamiko.
Hatua...
Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Meneja na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha...
Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako.
Kiukweli barabara ni mbovu sana...
Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia...
Kwa Wajasiriamali na Viongozi wa Biashara
Uongozi wa kweli haupimwi wakati mambo yame nyooka na fursa zimejaa tele, bali hupimwa wakati hali inapokuwa ngumu na kuonekana si ya haki kabisa. Funzo...
Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo.
Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu
Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi...
Waheshimiwa najiuliza tuu kama taifa tukifadhili upandaji Mlima Kilimanjaro kwa bingwa wa Afcon kila ikitokea, jee kiutalii, kifedha na kitaswira ITATULIPA? (Picha hii ni AI generated)
Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania...
Ili kujilinda na ukatili na utapeli mtandaoni, ni muhimu kuwa makini na aina ya taarifa unazoshirikisha (share) mtandaoni.
Epuka kutoa taarifa binafsi kama namba binafsi za simu, anwani za makazi...
Kujua siri za mtu yeyote.
Kujua siri za herufi.
Kujua siri za maneno.
Kujua shughuli za siri.
Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda.
Kujua siri za...
Kujua utajiri mtu alionao.
Kujua siri ya sanaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.