Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC Philip Besiimire ( wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka jipya la Vodacom jijini Dodoma, ikiwa na lengo la kusogeza huduma za...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
1. UTANGULIZI Mgodi wa Hadija Mkupi & Partners uliopo katika eneo la kijiji cha Msasa Runzewe Geita ulianza kufanya kazi mwishoni mwa mwaka 2025. 2. UENDESHAJI WA MGODI Mgodi huu unaendeshwa...
1 Reactions
2 Replies
326 Views
Ni katika kata ya LULEMBELA wilaya ya MBOGWE ambapo tukio hili limetokea kwenye nyumba ya Mwalimu siku ya jumapili tulibahatika kufika eneo la tukio tukajionea kijana alikua amechinjwa eneo la...
4 Reactions
7 Replies
313 Views
Nimekaa natafakari hapa , kama tusingekuwa na back up ya raia wa Uganda ambao walikuwa wamechoshwa na uonevu wa King of Scotland hakika ile vita zingepigwa sana. Tusidanganyane , raia wa Uganda...
3 Reactions
13 Replies
340 Views
Mwandishi Wetu. Dar es Salaam — Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetoa taarifa kwa umma ikionya kuhusu matumizi sahihi ya dawa zenye kiambata hai cha levonorgestrel pamoja na dawa ya...
2 Reactions
6 Replies
306 Views
Natumai mko wazima na wale wenye changamoto nawapeni pole niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi kwanza sijijui kama ni introvert au anti social au nina vyote kwa pamoja nakumbuka maisha yangu...
70 Reactions
1K Replies
126K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi...
4 Reactions
6 Replies
376 Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 22 Januari 2026 imesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) na taasisi tano za elimu ya juu kwa lengo la kukuza matumizi ya akili unde (AI)...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Wakuu je kwanini unatumia mtandao wa simu huo Ulipo nao Kwa sasa? Mimi nilianza na Voda na Kwa vile majority ya ndugu walikuwa Voda pia To date Niko na Vodacom Wewe je unatumia mtandao Gani na...
3 Reactions
12 Replies
259 Views
Tafadhari 🙏wana JamiiForums, naomba kuelekezwa njia kufika Meatu nikiwa natokea Ushirombo Bukombe DC
2 Reactions
14 Replies
316 Views
Suala la kusema one single church la Ufufuo na Uzima kipindi limefungwa kwamba limeibiwa vitu na fedha vyenye thamani ya fedha za Kitanzania sh. Billioni 2.7 ni uongo mkubwa ambao unapaswa kutoka...
0 Reactions
7 Replies
199 Views
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi...
10 Reactions
50 Replies
1K Views
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa...
2 Reactions
20 Replies
641 Views
Hawa vijana wa kigalatia ndo sababu ya kipekee kuwezesha timu ya mpira ya taifa Senegal kuishinda Morocco kwenye Fainali za Afcon na kutwaa kombe. Vijana hao wagalatia ni Eduardo Mendy (kipa)...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Mchina wa watu hana shida na mtu kaenda Uingereza kubeba box. Ma content creator uchwara wanamvamia kwenye kituo chake cha kazi na kuanza kumrekodi huku akipata msosi lunch break wapate views na...
3 Reactions
6 Replies
305 Views
Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Back
Top Bottom