Uganda hawana bandari. Tanzania ni kubwa karibu mara nne ya Uganda. Uganda imetawaliwa na 'dikteta' kwa miaka 40 sasa. Lakini ajabu wametuzidi GDP per capita, yaani pato la mtu mmoja mmoja. Hata...
Habari zenu wananzengo
Mimi ni mkazi wa mji mdogo Lushoto, nimepata mwaliko wa kwenda Korea Kusini ambako nitaishi huko kama miezi 3 hivi, sasa nilipenda kuifahamu vizuri nchi hii kwa upande wa...
Soma hili tangazo
We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances.
Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752
Pick up or can help deliver...
Mabango ya kampeni (kama posters, billboards na matangazo ya uchaguzi) yanadhibitiwa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani (No. 1 ya 2024) na sheria ndogo za halmashauri za mitaa...
Unajua ni ile mikumbo tu, ila mkoa wa Dar es salaam hakufai watu kuishi ni mahali kama unabiashara zako unaenda unakaa hata wiki 2 kisha unatoka sababu UV kwa Dar es salaam inafika hata 14
kwa...
Gharama za mwaka
MACHINGA
Rushwa kwa mgambo - 50,000
Fremu - Shilingi sifuri
Kodi ya Fremu kwa TRA - Shilingi sifuri
Kodi ya biashara TRA - Shilingi sifuri
Leseni ya Jiji - Shilingi sifuri...
Maisha yamekua fumbo pale utakapojiuliza baadhi ya maswali mbali mbali kuhusu wewe, haswa utakapo jiuliza "mimi ni nani ?", Nimetokea wapi ?, nipo hapa kwa kusudi gani ? Na pale akili yako ikianza...
🤜 NA Olyme Songo III
Maisha yamekua fumbo pale utakapojiuliza baadhi ya maswali mbali mbali kuhusu wewe, haswa utakapo jiuliza "mimi ni nani ?" Nimetokea wapi? Nipo hapa kwa kusudi gani?
Na pale...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni...
Nini maana ya kuwa baba, kwa bahati mbaya katika jamii zetu za kiafrika, ukiuliza hili swali utajibiwa kwa kwa kejeli kwani aliekulisha, kukusomesha na kukuvalisha.
My people,
Unapomuacha mtoto wako aache sahani mezani baada ya kula sio tu kwamba unamfanya awe na tabia mbaya bali unamtengenezea mazingira ya kuwa na future mbaya huko ukubwani.
Mtoto...
BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la...
2026 THE YEAR OF ACTION I AM
Sehemu ya kwanza 1...
SIRI YA KINAMBA YA 2026
2 + 0 + 2 + 6 = 10 → 1
Hii si hesabu ya kawaida.
10 ni Namba ya Mzunguko Kamili, na 1 ni Mwanzo wa Uumbaji...
Sisi wanatuona kama ni Nyani. Suala la ushindi wa Senegal limeonesha jinsi gani jamaa wana chuki na watu weusi. Ile match ni Miungu yetu ilitusaidia kuonesha nguvu zake. Kwa kweli imetuheshimisha...
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa karibu wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amesema kuwa Mzee Mtei alikuwa Muasisi wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limetoa ufafanuzi kuhusiana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Askari wa Jeshi la Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa...
Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na...
Kumbuka kwa sasa wanachaji nauli sh 1000 kituo hadi kituo, hiyo haitoshi kwa sasa wametuma ombi kwa LATRA kuwa wanafanya kazi kwa hasara hivyo wameomba kuzifungia daladala na bajaji zote njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.