Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao.
Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri...
Wakuu napemda kuhamia Mtwara kufanya Biashara lakini nimekatishwa tamaa na watu wengi wanadai wananchi wa Mtwara ni wachawi sana halafu hawapendi maendeleo nasikia ukienda ukaanza kuleta maendeleo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema uuzwaji wa vileo pamoja na vinywaji vyenye sukari nyingi kwa gharama nafuu katika baadhi ya nchi duniani, unachochea ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza...
Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina...
Hesabu 35:33. "Hivi hamtaitia najisi nchi ambayo mnakaa;kwakuwa damu huitia nchi unajisi;wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi;kwa ajili ya damu...
Siwatishii. Kwasababu haina maana.
Ila mpo watatu. Wote wa kiume. Mlikaa jumapili mchana (mida ya saa 8) baada ya kuvuka Msolwa Filling Station mkiwa na tochi.
Sasa mlitusimamisha. Mkasema...
Hii video inayozunguka mitandaoni polisi wa vyeo vya chini iwatafakarishe mno la sivyo mtakwisha.
Mmeona Afande mwenzenu alivyokuwa anaviringishana na mharifu chini bado raia wakawa wanawapita na...
Waganda wanahitaji mkombozi kwa kweli. Huyu ni mkuu wa majeshi. Bado kuna Jenerali Ali. Ndio nchi ya Iddi Amini. Nyumbani kwa Konyi. Kabla ya hao alikuwa Kabaka Mutesa. Bila kumsahau Kibwetere...
Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪.
Kissendi aliugua muda...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Clement Sangu, amewaonya waajiri wa sekta binafsi wanaokiuka amri ya kima cha chini cha mshahara iliyoanza kutumika Januari 1...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992...
Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya
Moja kwa moja kwenye hoja
Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ?
Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti...
Sina mengi ila nina mfano tu mdogo,
Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga"
Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.