Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu...
1 Reactions
15 Replies
110 Views
MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa...
7 Reactions
12 Replies
152 Views
Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa. Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha...
58 Reactions
219 Replies
52K Views
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma! Miezi miwili iliyopita...
12 Reactions
64 Replies
2K Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Kama kuna mtu aliwahi kufanya jaribio lolote ambalo halihatarishi maisha yako, hakuna sida. Kama kuna mtu yeyote aliwahi Fanya jaribio la kutaka kukua (kukutoa uhai)...
1 Reactions
1 Replies
77 Views
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana) Nilichomwambia Rais Samia (23 October 2025) Kabla Ya Uchaguzi Mkuu: CCM ikikaa meza moja ya mazungumzo na CHADEMA, utakuwa ni ushindi mkubwa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo...
3 Reactions
14 Replies
99 Views
Hii nimeikuta mahali, baba anaishi maisha magumu ya kimaskini sana, lakini mtoto wake ni milionea! Baba anamwomba mtoto angalau amthamini tu kama baba, lakini mtoto anamtolea nje! Hampi hata...
1 Reactions
6 Replies
133 Views
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu. Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga...
15 Reactions
17 Replies
316 Views
  • Redirect
Habari wakuu wa JF, Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
1 Reactions
Replies
Views
Kuna watu wanaamka asubuhi saa 11 kwenda kazini. Wengine wanaamka saa 11 pia, lakini hawana mahali pa kwenda. Mmoja anavaa sare za kazi, mwingine anavaa nguo zake za kawaida na kutoka kutafuta...
5 Reactions
13 Replies
257 Views
Hellow habari, samahani naomba tuonane pale pa siku zote nina ujumbe wako, nisimu ambayo niliwasiliana na binti ambaye kwa kipindi kile nilitamani kuanzisha maisha naye ya pamoja Miakaa kadhaa...
1 Reactions
5 Replies
78 Views
One major reason humans created the concept God is to cope with the pointlessness of life. Take away the concept of God being in charge of everything, and you discover how inherently meaningless...
0 Reactions
4 Replies
101 Views
  • Redirect
Habari wakuu wa JF, Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
0 Reactions
Replies
Views
Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege. Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati...
0 Reactions
4 Replies
58 Views
Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi. Lakini quraan inasema uislam ndio dini ya haki. Je uislam unaongozwa na matakwa binafsi ya mtu au quraan?
6 Reactions
8 Replies
107 Views
USICHOKE KUOMBA Maombi 🙏ni pumzi ya uhai bila maombi 🙏🏿 hakuna uhai. wakati wote ni wa maombi 1)Kati kati ya majonzi ,shida,majaribu,misukosuko na matatizo,wakati wa kukosa,hata kama bado...
8 Reactions
13 Replies
630 Views
Miaka 7 iliyopita nipitia katika changamoto kubwa ya mahusiano yangu na Mungu. Katika kipindi hicho chote Mungu alikuwa mwaminifu katika maisha yangu , mambo mengi ambayo hata sikuyaomba Mungu...
7 Reactions
12 Replies
142 Views
Inasikitisha sana. Je, watu huzaliwa na chapa ya laana ya kuteseka, yani ndio inakuwa njia yake na kizazi chake haijalishi atasali AU kufanya mema kiasi gani?
3 Reactions
8 Replies
166 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…