1. Sababu ya Asili
Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni:
•Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine...
Wanabodi hii mada ni tata sana, kabla hujaisoma inabidi uweke hisia na mafundisho ya dogma pembeni.
Albert Pike kwenye kitabu chake cha "Moral and dogma of freemasonry and accepted Scottish right"...
Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland
Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho...
Hii ni Barabara Kuu inayounganisha Kata ya Buhanda na Businde iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji, ambapo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, hapo Businde ni Kata pekee ambayo haijawahi kuwa na lami...
hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo:
day one
no 1
1. omba Toba na Rehema
juu yako
familia yako
ukoo wenu
taja mababu na watoto wako kwa majina...
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 64 raia wa China alidungwa na nondo ya chuma baada ya kuanguka juu yake kutoka urefu wa takribani futi sita.
Wenzake kazini walisema aliteleza alipokuwa...
Mbona mitandao mingine na ma bank wanatoa taarifa mapema kabla siku ya maboresho ma wanafanya usiku asubui mambo shwari nyinyi mnashindwa kufanya usiku hamna taa au?
Kuna wagonjwa wanateseka...
Jambo Wakuu!
Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao...
Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA).
Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye...
Katika hatua ya kuongeza uelewa, uzoefu na kukuza ujuzi wa wataalamu na wadau wa magonjwa ya moyo, washiriki 600 kutoka mataifa zaidi ya 60 duniani wanatarajiwa kushiriki katika Mkutano wa Nne wa...
Wakati David Dennis alipoona kwa mara ya kwanza nywele zimetawanyika katika duka lake la kinyozi la shule ya sekondari, hakujua kabisa kwamba nywele hizo zilizotupwa siku moja zitamweka mbele...
Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana
Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake...
Hi ni historia ambayo unaogopwa kuifundisha katika shule, za kikuristo wanataka kushambulia Uislamu kwa kipitia waarabuwalio husika katika biashara haramu ya utumwa wakasahau kwamba mizizi ya...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Benki ya Stanbic imethibitisha tena nafasi yake kama mdau muhimu na mshirika wa kuaminika katika masoko ya mitaji nchini Tanzania, baada ya kushiriki kama...
Serikali ya Marekani, chini ya utawala wa Rais Trump, imetangaza rasmi kukamilisha mchakato wa kujiondoa katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Alhamisi. Hatua hii inakuja ikiwa ni mwaka...
Makampuni ya kutengeneza magari ya China sasa yanaongeza juhudi za kuingia katika soko la magari la Afrika, yakilenga magari ya umeme na magari mseto ya bei nafuu, katika wakati ambao dunia...
Ndugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.