Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa.
Na hapa ni alivyo fika kwenye send off nyumbani Kwa akina Miriam.
Ndoa ni furaha ndugu zangu si mnajionea wenyewe Kwa...
Hivi karibu katika ulimwengu wa kidijitali, imekuwa ni kawaida watu kuzungumza kama bile wamekatwa vichwa. Mitandao imekuwa ji mahali ambapo ukweli unapigwa kwa sababu ya kulinda hisia za mtu na...
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya...
PROMINENT Congolese scholar and former University of Dar es Salaam History lecturer Prof Ernest Wamba dia Wamba has passed away in Bunia, Democratic Republic of Congo.
Until Thursday morning...
Wakuu,
Leo ni siku ya muandiko duniani.
Kuna wale walimu wetu ambao walikuwaga wanatufundisha jinsi ya kuandika (kuunda maneno na kuumba herufi)
Kwanza wanakuwaga wabibi fulani hivi na...
HAYA LAND HOV manyaunyau
GENTAMYCINE popoma
Binti wa zamani bibi kizee cha tulin
min -me bwashee
ELI COHEN myahudi
Lucas Mwashambwa chawa
Mshana Jr mtaalam
Shusha nyingine😁
My people,
NAMNA YA KUFANYA MAJADILIANO YA KIDINI NA WASIO WAKUWA WAISLAMU KATIKA UISLAMU
Uislamu ni dini ya hikma, adabu na rehema. Unapozungumzia dini na watu wasiokuwa Waislamu, Uislamu...
Habari za asubuhi
Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama...
Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake
Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya...
Bandugu bapenzi nimekua nikifatilia makala zinazoandikwa na gazeti la Mwananchi kuhusu isue ya balali..lakin nilichokielewa mie ni kama wanapigia mstari tuu isue tulizowahi kuzisikia miaka...
THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO
VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII
GODBLESS YOU ALL
GODBLESS YOUNG...
Leo bana nimekapeleka katoto kangu kuanza shule hizi za FM Academia
(Ya ada ya kawaida tu sio kama ya IST au FEZA), sasa basi nimekutana na kina Junior wa kutosha, yani vitoto vingi vya kiume...
Hello wadau, naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 33. Katika harakati za maisha niliotea bonge moja la mchongo wa kazi nzuri kutoka katika big 4 audit firms hapa bongo, kiukweli hii...
maswali....
1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.?
2-kwa Mwanza na Dar es salaam...
Mdada wa usafi sio haba
Secretary balaa tupu
Cashier homa ya jiji
Mhasibu another trouble
Afu tume ya maadili wapo kimya kama mabubu wenzao takukuru hawaoni kama vipofu
Naombeni ushauri wa engine oil original ya vitz engine 2sz sehem gani nzuri wanaweka original tusaidiane jamani kuokoa.magari yetu na vipanga
Naombeni location au wapi wanaweka oil nzuri au wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.