Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC)...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo. Ingawa TRC...
4 Reactions
5 Replies
692 Views
Tulikuwa tunaangalia hapa Afcon kuna Wa Morocco wanne walikuwa wakiishangilia timu ya taifa ya DRC ishinde dhidi ya Algeria ambao ni majirani na waarabu wenzao. Yani wamehuzunika sana Algeria...
5 Reactions
36 Replies
877 Views
Ushindi wa Senegal Afcon umeweka wazi chuki ya waarabu dhidi ya waafrika weusi haijalishi hata wewe ni muislam. Kwenye Video hapo chini ni raia wa Senegal akibaguliwa waziwazi sokoni Morocco...
4 Reactions
35 Replies
678 Views
utakapo tazama kwa uaminifu, dunia itaendelea kupotoshwa kulaumu imani — badala ya kuwawajibisha wenye nguvu. Ulaghai wa Kulaumu Uislamu wakati wauuwaji wanjificha nyuma ya Dini huku zikiendesha...
6 Reactions
43 Replies
653 Views
Moderator Active heading iwe 1998 tafadhari Khalfan Khamis Mohamed Alijiunga na al-Qaeda na alipata mafunzo ya wanamgambo nchini Afghanistan kabla ya mashambulizi. Alihusika moja kwa moja...
10 Reactions
31 Replies
631 Views
Mfanyabiashara Mohamed Kiluwa (50) amekutwa na kesi ya kujibu katika mahakama ya Wilaya ya Ilala na ataanza kujitetea Desemba 17, 2018. Uamuzi huo umetolewa leo Jumanne Desemba 11, 2018 na hakimu...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Anyway kuna macho ya rohoni Ila.swali langu kwa past...kwa nn watu wanalazimishwa kufunga macho.wakisali.. Na baada ya ibada past unangaka watu wanapepesa mac h o kama.wanatafuta.wachumba...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake...
1 Reactions
0 Replies
178 Views
Kuna kampuni iliajiri kijana aliyekuja mikono nyuma kabisa akiomba ajira ya umeneja. Alipoipata kazi, mwanzoni alijifanya mnyenyekevu na mchapakazi, mshahara mzuri, posho zipo na allowance...
2 Reactions
5 Replies
255 Views
Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa...
8 Reactions
30 Replies
561 Views
Salam wakuu. Siku ya Leo nimenunua dekoda ya startime ya antenna nimefika nimeiunganisha imeniletea hivi maana yake nini au ndo kusema dekoda imeharibika Shida hapa nini
1 Reactions
4 Replies
142 Views
Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini. Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii. Na yaona ya muasisi wa...
12 Reactions
109 Replies
969 Views
Umestruggle kulima mpunga Igurusi Mungu kakubariki umevuna umepata visenti vyako ukaona ununue zako gari la kurahisisha harakati zako unaweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kwenye ukoo wa Mwakalinga...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump...
2 Reactions
5 Replies
215 Views
Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu...
20 Reactions
34 Replies
715 Views
Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao...
13 Reactions
52 Replies
1K Views
Hiki kinachoendelea kwenye taasisi zetu ni nani anafanya na anafanya kwa ajili ya nani ? Mbona mwanzo ajira zilikuwa zinatolewa nyingi sana hatukuona haya yakifanyika au kuna mabadiliko mimi ndio...
8 Reactions
26 Replies
359 Views
Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Hili ni kumbusho kwamba Kings umeshinda tenda zote za ujenzi hapa dsm onesha uwezo wako kwa ujenzi wa barabara kuwa wa viwango na uishe kwa wakati kwani umezua taharuki kubwa hasa maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Back
Top Bottom