Jamani, naomba ufafanuzi. Kwa nini vituo vya BRT (mwendokasi) barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Mbezi Beach vimejengwa virefu sana, na pia vimekaa karibu karibu kiasi kwamba hata mita 400 havifiki...
Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona...
Hivi sasa unaambiwa kuwa polisi wanatembelea nyumba kwa nyumba kuwajulia hali wananchi.
Pichani: Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lupakisyo Mwakyusa ametembelea familia ya Mzee Mabile Nunda na Bi...
Uislamu unadai kuwa umetokana na mfululizo wa manabii waliotumwa na Mungu mmoja tangu kwa Adamu hadi kwa Muhammad. Hata hivyo, utafiti wa kihistoria na kimaandishi unaonesha kuwa baadhi ya...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 02, 2026, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Shabiby amesema taarifa hizo si za kweli, akisisitiza kuwa hakuna hata mmoja wao aliyepokea wito...
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine...
Huyu jirani yetu ni baba ni mtu mzima, tumepakana naye, na mara nyingi mida ya jioni anapenda kukaa kibarazani kwake juu ghorofani, na tushamzoea hivyo.
Usiku wa leo niko narudishia mapazia...
Tafadhari taarifa ziwafikie Hawa RITA Nini maana ya kuweka huduma ya kuomba cheti kwa njia ya mtandao kama mtu nimefanya maombii ya cheti cha kuzaliwa mwezi wa 12 mpaka sasa hakuna mibu ya aina...
Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi.
Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano...
Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada...
Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi...
Askari huyu anapatikana mkoani Geita maeneo ya Katoro.
Askari huyu ana rasta, kimuonekano tu anatumia vitu vikali.
Juzi wamemnyakua huyo mwenyekiti wa wachimbajji wadogo wadogo hapo Geita.
Huyu...
Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) imewataka wananchi, wadau na wataalam wa mipangomiji nchini kuhakikisha kuwa utekelezaji wa shughuli zote za mipangomiji unazingatia kikamilifu...
KILIO CHA WAFANYAKAZI WA MRADI WA UMEME RUVUMA: Miezi 8 Bila Malipo, Maisha Ni Magumu!
Habari wana.JF
Mimi ni MDAU nipo kwenye mradi wa usambazaji wa umeme vijijini (REA) mkoa wa ruvuma...
Kufuatia marekebisho ya serikali kupitia Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya vya mshahara vimeanza kutumika. Ni muhimu kwa kila mfanyakazi na mwajiri...
Ndio chanzo cha kupigwa chini ubunge! Ndio hivyo, wewe unapishanaje na Mpwa wa Mungu wa wana kijani! Huyo mtu huko kijani ndio mungu wao wanamuabudu!
Kwahiyo hiyo B3 sijui ataitoa wapi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.