Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,120
Mojawapo ya ajira ndani ya jiji lolote ni udereva... Udereva wa mashine mbalimbali, udereva wa magari makubwa na madogo na udereva wa mabosi
Ukiachana na kigezo cha leseni vigezo vingine vinatofautiana.. Kwa mfano dereva wa boss ni lazima awe kasomea ama VIP COURSE au PSPV
Vigezo muhimu vya dereva wa tingatinga la jiji ni hivi hapa
Kwanza ni lazima awe katili
Halafu awe hajajenga anaishi chumba cha kupanga
Elimu isizidi darasa la saba
Na lazima awe na changamoto nyingi za kimaisha
Ni lazima awe na kijicho na roho mbaya ama roho ya kwanini
Hatakiwi kuwa na tafakuri na awe ni mtu asiyejali
Wanaotimiza vigezo hivi hupata kazi fasta wakiwa na wasaidizi wao mgambo.. Ambao nao vigezo vyao ni kama hivyo.....
Unapoangalia nyumba za thamani kubwa zikiporomoshwa na lile tingatinga halafu yule dereva akiwa na sura ya kawaida kabisa huku familia zinazobomolewa nyumba husika zikiwa zimechanganyikiwa na vilio tele huku wengine wakizirai... Dereva wala haoneshi kushtuka wala kuguswa kabisa.....
Hali hii hupelekea kuona sura halisi ya dereva huyo hata kama yuko kazini..
Nb: CV hii ni kwa mtazamo wangu binafsi