Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.
0 Reactions
2 Replies
222 Views
Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
0 Reactions
4 Replies
230 Views
Zingatia haya maneno sana Ukumbusho wa kila mwezi: Jiepushe na mke wa mtu mwingine, — hata kama ni mzuri kama pundamilia — hata kama ana matatizo ya ndoa — hata kama anaonekana...
9 Reactions
18 Replies
273 Views
Someni wazo mtoe maoni yenu!! Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi...
2 Reactions
1 Replies
172 Views
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo wanajamiiforum tuzungumzie kuvunjika kwa Uume "Mbolo" ambayo kitaalamu uitwa Penile fracture hii hali uwa ni yenye kuhitaji Matibabu ya dharula au haraka yani ni medical emergency 🚨— ingawa...
2 Reactions
17 Replies
678 Views
  • Redirect
Ikumbukwe wiki liyopita waTEC na CHADEMA walivumisha kuwa waheshimiwa Ahmed Shabiby na na Kangi Lugola wameitwa TAKUKURU amekanusha na akasema si yeye wala Kangi Lugola ambaye kaitwa na TAKUKURU...
1 Reactions
– Replies
– Views
Malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa. Malipo ya wema ni kupelekeshwa. Kuna sanaa ya kubalance ufahari usiwe kiburi na nidhamu isiwe unyonge, na hii ndio siri ya mafanikio. JASUSI COHEN
10 Reactions
27 Replies
434 Views
Mahakama ya Tanzania imeanza hatua kubwa ya mageuzi ya kidijitali kwa kuanza kutengeneza mfumo wa kisasa unaotumia Akili Unde (Artificial Intelligence – AI) kwa ajili ya kurekodi mwenendo wa...
1 Reactions
4 Replies
280 Views
Ni aina ya sanaa mfanano wa prank (kuwafanyia wengine mizaha), lakini ya kwake ikiwa pengine kwa kukosa umakini na miongozo inawadhalilisha na kutweza utu wa watu. Kusingizia kwa mzaha tuhuma...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa...
1 Reactions
0 Replies
189 Views
Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni...
11 Reactions
10 Replies
399 Views
MTUHUMIWA WA KASHFA YA ARV APEWA TENDA KUZALISHA ARV TENA Na Martin Maranja Masese . @wizara_afyatz hebu tujadiliane kwa utimamu. Turudi nyuma kidogo. Ramadhan Madabida akiwa Mwenyekiti wa CCM...
4 Reactions
21 Replies
629 Views
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali...
0 Reactions
3 Replies
184 Views
Mabasi ya sasa. Hali ya usafiri wa mbagala. Mabasi ya mwendo kasi njia ya mbagala yasiopungua 150 yameshaingia mjini. Swali ni je wanambagala watakuwa na ustaarabu wa kuyatunza?
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Mmetutenga tena watu wa Bara haya mambo haya Nafasi zakwanza zili tangazwa Kwa wa Tanzania wote iweje Leo mtuweke Bench Nawakizingua huko lawama ni Kwa Tanzania nzima nachoka mimi
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, ametoa wito kwa waandishi wa habari za uchunguzi kuendelea kumulika changamoto na mianya ya ubadhirifu wa fedha inayoweza kuwa kikwazo katika utekelezaji wa...
1 Reactions
0 Replies
169 Views
Habar wana Jf Husika na kichwa cha uzi hapo juu, sisi wahitimu ya fani ya uuguzi tulifanya mtihani wa leseni 19 Disemba, 2025 na tulipia huo mtihani laki na nusu! Sasa hawa jamaa muda unazidi...
1 Reactions
0 Replies
252 Views
Back
Top Bottom