Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Afisa Elimu, Kazi na Jinsia kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Nsubisi Mwasandende, ameipongeza Tume ya Madini kwa juhudi kubwa inazozifanya katika kusimamia...
1 Reactions
4 Replies
337 Views
Mwaka 2006 ni kama juzi tu wakuu. Ila ndio miaka 20 imepita,haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea 2006 na sasa yana miaka 20. Juma Akukweti akiwa Waziri anafariki baada ya kuanguka na ndege huko...
26 Reactions
96 Replies
2K Views
Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi 1 .Call , (Wito 2. Fate 3 . Destiny (Hatima) Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu...
5 Reactions
6 Replies
284 Views
Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
--- Hatupaswi kukata tamaa kwa sababu ni hali ya kawaida ya binadamu kupitia changamoto, lakini pia tuna uwezo wa kipekee wa kukabiliana na kuzishinda. Kukata tamaa ni kizuizi kikubwa...
3 Reactions
1 Replies
868 Views
Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla...
2 Reactions
11 Replies
310 Views
Kwa miaka mingi, jamii ya kimataifa inavutiwa na maendeleo ya China, na kuna mabadiliko muhimu katika mwelekeo wa majadiliano—kutoka kuuliza “China imefanikiwa vipi?” hadi “China imewezaje...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea. Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Hii ilikuwa ni mada kwenye kundi letu moja wakati wa mapumziko ya Christmas lakini kutokana na ubize wa watu hatukuijadili kwa mapana... Nimewiwa kuileta hapa kama mojawapo ya mada mpya za mwaka...
30 Reactions
186 Replies
30K Views
Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na...
4 Reactions
28 Replies
789 Views
Tangu warsha ya kwanza ya mafunzo ya Luban ilipozinduliwa mwezi Machi 2019 nchini Djibouti, China imeanzisha jumla ya warsha 11 za Luban katika nchi 10 za Afrika. Kwa kuzingatia falsafa ya...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Wakati uhusiano wa China na Afrika unaendelea kuimarika, vijana wengi wa Afrika wanachagua China kama kituo cha masomo, kujenga taaluma na kuunganisha tamaduni za kuvuka mipaka. Kuzinduliwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Taifa limechoka liko hoi Tanganyika iko hoi Wananchi wamechoka Waliojiteua wamechoka Walioua wamechoka Waliopoteza ndugu zao wamechoka Waliotoa amri za shoot to kill wamechoka wako hoi hasa Gen Z...
8 Reactions
31 Replies
465 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer wiki iliyopita alikuja China ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi huyo wa Uingereza ndani ya kipindi cha miaka minane. Kupitia ziara hii Starmer anafanya...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Ndugu zangu, Niwe mkweli kwa Nchi yangu niliyozaliwa. Jambo hilo pichani ni la kushangaza. Sidhani kuwa hiyo ni kazi ya DC. Tunadhani si jukumu la DC kutumia muda wake kushuhulika na masuala...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikisikia kuhusu habari za nyota. Hii nyota ni kitu gani haswa? Kwa mfano ukienda kwa mganga anaweza kuiona? Kwa namna gani? Wengine husema nyota ni vipaji? Hivi...
20 Reactions
284 Replies
47K Views
Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la...
10 Reactions
33 Replies
877 Views
Kwa mara ya kwanza natumia ukurasa huu kwa kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa kuanza kufanyia kazi kero ya ongezeko la vibaka na wahalifu hasa kata ya bunda mjini,operation ambayo...
1 Reactions
3 Replies
192 Views
Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia...
4 Reactions
58 Replies
1K Views
Back
Top Bottom