Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Majini ni Viumbe walioumbwa kwa moto na Mwenyezi Mungu miaka mingi sana kabla ya kuumbwa kwa Mwanadamu, ina maana Mungu hakuwa na mpango wa kumuumba Mwanadamu lakini baada ya Majini kumuasi na...
4 Reactions
30 Replies
429 Views
Kufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kwa kutumia ndege za ATR 72-600 (zipo 3) na Boeing 737 (zipo 2) na Boeing 787 (ipo...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Tuishi na nani hapa?! Hii nchi tunazungushwa mpaka tunasikia kizunguzungu halafu wanatuacha.
2 Reactions
7 Replies
171 Views
Utangulizi Kanuni za Tiketi Mtandao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini za mwaka 2024, zilizotangazwa na Serikali (Tangazo la Serikali Na. 23 la tarehe 12 Januari, 2024), zinaweka sharti kwamba...
2 Reactions
1 Replies
249 Views
Habari zenu wana Jamii Kuna fursa kubwa inaonekana ipo kwa serikali au private sector kuwekeza na wananchi wakanufaika. Ukiangalia huwa kuna space kubwa na pana inapatikana juu ya Barabara za...
1 Reactions
1 Replies
242 Views
My people, Sio Lazima Umalize Kila Ulichokianza: Ruhusa ya Kuacha na Kusonga Mbele Katika maisha, tumefundishwa mara nyingi kwamba “mtu makini humaliza kila anachokianza.” Kauli hii ina ladha...
5 Reactions
22 Replies
418 Views
Kuna makundi yamejigawa. 1. Urusi 2. China 3. Amerika Miafrika inadhani adui wa Marekani ni rafiki yao. Na hivyo hivyo kwa Mchina na Mrusi. Tulimuunga mkono Russia kuivamia Ukraine. Inakuja...
5 Reactions
12 Replies
209 Views
Usipokuwa mlevi wa pombe, unaweza jikuta ni mpenda wanawake wa kupitiliza Usipokuwa mlevi wa kuangalia porno, unajikuta mfalme wa punyeto hata ukimaliza game na wife lazima uichape mkono ndio...
4 Reactions
15 Replies
233 Views
Gyntomcine popote ulipo jitokeze uwasemehe wakurya walio Ina ambulance huko musoma mara --- Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za wizi wa gari la...
2 Reactions
1 Replies
268 Views
Huu ni ujinga utoto na uoga kwani kila habari kwa sasa wanakuwa wanajua kabisa mapokeo yatakuwaje. Ni heri kama wameshalijua hilo
5 Reactions
10 Replies
286 Views
Nipo kwenye jiji la Daresalama, napita na kuvivinjari viunga vyake. Kitu kilichonishangaza ni jinsi Siraha mbalimbali zinavyouzwa kiholela, maeneo ya Kariakoo (soko kuu) nimeona uuzwaji holela wa...
5 Reactions
36 Replies
725 Views
Sonona 1. Msione wajifia, vijana naso wakubwa Mawazo nawaambia, akili ndio hukabwa Fuadi zinaumia, mwili nao dabwa dabwa Sonona gonjwa hatari 2. Akili inapofeli, mauti yatawasili Hutaona...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Jihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji. Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama...
49 Reactions
265 Replies
48K Views
Tusipotaka kuzungumza na kuweka kumbukumbu ya yote yaliyotokea hasa ukatili na udhalimu kama ule wa Hitler na hadi matukio ya sasa basi tujiandae kurudia makosa yale yale. (If we cannot remember...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Helloo JamiiForums, tunaomba kuripotia kadhia iliyopo katika Bank ya NMB MLELE DC tunayoipata Wananchi, Customer Care ni mbovu mno, mtu mmoja unakaa ukisubiri huduma zaidi ya dakika mpaka 50 bila...
3 Reactions
7 Replies
193 Views
Wadau na waamini wa biblia na Korani nina swali kwetu Hivyo vitabu vinasema Mungu alimpa mwanamke adhabu ya kuzaa kwa uchungu sababu ya kufanya dhambi ya kula tunda la mti wa kati katika bustani...
19 Reactions
175 Replies
3K Views
Siku kama ya Leo mwaka 2016 Msemo "mi nakula bata" ulinifanya wasabato wanisimamishe kanisani kwao. Baada ya kuuliza kwa nini walifanya vile, wakaniambia wasabato huwa hawali 'Bata'...
8 Reactions
59 Replies
920 Views
Nimeona kwa tulia ila kifo
3 Reactions
8 Replies
307 Views
Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka Watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa silaha, ili kulinda nchi yetu ikiwa ni utekelezaji wa Katiba ya...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Back
Top Bottom