Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna wale wakaguzi wa kilichopelea. Kwa kila simulizi wanakuja na ushahidi wa kile ulichokisahau: ‘Jamaa ni mtu mwema sana. Napenda anavyojiongeza akisikia shida ya mtu’—ndio lakini ana tatizo...
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Malia Elizabeth, mama mwenye umri wa miaka 38 kutoka Florida, nchini Marekani, alikamatwa kwa tuhuma za kufanya vitendo vya kingono na mnyama, baada ya mume wake ambaye walikuwa wametengana...
3 Reactions
49 Replies
910 Views
Ukuaji wa huduma za malipo ya kidijitali mitaani ni hatua muhimu kuelekea uchumi usiotegemea fedha taslimu (Cashless Economy). Hata hivyo, ili kufikia malengo ya kitaifa ya ujumuishaji wa...
6 Reactions
9 Replies
338 Views
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hayo unaweza kuthibitisha kwa haraka hata kwa kuangalia baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini idadi kubwa ni Wakristo wakiwemo Wasukuma...
2 Reactions
10 Replies
182 Views
Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes...
1 Reactions
8 Replies
91 Views
Heshima kwenu wakuu! Niliazimia siku Moja nitembelee morogoro wilaya ya Gairo na Mvumero! Hatimae ikawadia na ikaenda sawa sawia kabisaa... Kutoka kahama Hadi Gairo morogoro safari ilianza...
39 Reactions
305 Replies
18K Views
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa...
0 Reactions
5 Replies
56 Views
Lockheed SR-71 Blackbird ni mojawapo ya ndege za ajabu zaidi kuwahi kutengenezwa. Ingawa watu wengi huiita ndege ya kivita, ukweli ni kwamba ilikuwa ndege ya upelelezi (strategic reconnaissance...
3 Reactions
8 Replies
212 Views
Anonymous (d681)
Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao) Mfano una shida...
1 Reactions
11 Replies
379 Views
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui...
1 Reactions
18 Replies
153 Views
Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu. Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka...
2 Reactions
3 Replies
78 Views
Hellow Great Thinker!!! The LORD is good... Wakuu hii hari ya kutoka jasho ukiwa comfotable ina maanisha nini? ..... Yani umetulia zako unaona kiubalidi kinatekenya kwenye msuli, una cheki kumbe...
4 Reactions
47 Replies
289 Views
Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka...
2 Reactions
11 Replies
124 Views
Habari wanajamvi, Bila shaka leo yetu ni nzuri na njema sana na MUNGU awape wepesi wote wenye changamoto na matatizo mbalimbali. Haya soma hapa sasa na hii ndio sababu ya huu uzi. Hivi wale...
0 Reactions
2 Replies
54 Views
Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
2 Reactions
1 Replies
68 Views
Heshima yenu wana JF Binafsi ninapenda sana kunyoa kipara,lakini changamoto kubwa ambayo huwa ninaipata japo si mara kwa mara ni maumivu na kuota kwa vipele upande wa kwenye kisogo. Je ni nini...
1 Reactions
8 Replies
547 Views
Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
0 Reactions
13 Replies
611 Views
Unaitumia kila siku na unaishi ndani yake siku 7 za wiki, rangi 7 za upinde wa mvua juu ya kichwa chako, na noti 7 za muziki kwenye kila wimbo uliowahi kukutoa machozi. Lakini swali ambalo watu...
12 Reactions
33 Replies
558 Views
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB...
11 Reactions
118 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…