KERO Changamoto ya maji Moshi mtaa wa Makutini KCMC

KERO Changamoto ya maji Moshi mtaa wa Makutini KCMC

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

lucasv

New Member
Joined
Oct 16, 2026
Posts
1
Reaction score
1
Wananchi wa mtaa wa Makutini KCMC Moshi tumekuwa na kilio cha muda mrefu kutopata maji inaenda karibu wiki ya tatu sasa. Mamlaka inayohusika imejulishwa juu ya changamoto hii lakini hakuna majibu mpaka sasa.

Wananchi wengi tunasaidiwa kupata maji ZEBRA CAR WASH iliyopo jirani na mtaa huo.

Tunaomba mamlaka isikie kilio chetu na itatue changamoto hii.
 
Back
Top Bottom