Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki.
Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown...
Nashangaa watu wanaojifariji eti ujana mwisho 40, wengine 45 na waliuvuta bangi husema 49.
Wengine ni viongozi wanajiweka kwenye kundi la vijana ila ukimcheki mtu kazeeeka na ana 49 eti na yeye...
Habari kwa jina naitwa Magesa M Nginira nina changamoto kwenye majina yangu ya vyeti.
Kwenye cheti changu cha form four na cha chuo jina linasoma MAGESA .M. NGINIRA yenye usajili wa namba...
Jina langu katika cheti cha kuzaliwa ni BAHATI NJEMA DAIMA
JINA LANGU KWENYE KITAMBULISHO CHA NIDA NI BAHATI NJEMA DAIMA.
JINA LANGU KWENYE CHETI CHA FORM FOUR NI
BAHATI N DAIMA
JINA LANGU...
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote...
Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule...
Wana-JF na Wanahabari wenzangu,
Leo nimeguswa kutoa neno baada ya kuona barua ya Bodi ya Ithibati (JAB) ya tarehe 03 Machi 2026, ikitoa onyo kwa mwandishi mwandamizi Pascal Mayalla na mwenzake...
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo...
Hii error imekuja baada ya kuwasilisha au kusubmit kero yangu. Kiufupi wanajaribu lakini bado Mapungufu mengi.
Nimelipia huduma imepita wiki nzima ndio wanakuja kufunga fiber na wakikufungia...
Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu...
Nitakuwa tofauti kidogo na viumbe wengine.pia tofauti na KIRANGA na wenzake wasio amini uwepo wake mimi na amini yupoo ila utendaji wake wa kazi kidogo inanipa mshaka kama mashabiki wa vyama na mm...
Mwandishi wa Habari Khalifa Said amesema kuwa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imekuwa ikitumia mamlaka yake kinyume na sheria kwa kuwachukulia hatua waandishi wa habari wanapotoa...
Ndugu Mwigulu Nchemba kuvaa skafu za bendera ya Taifa si kwamba unaipenda nchi yako ama Mzalendo. Kama kweli unaipenda nchi yako basi ungepigania haki na uhuru wa watu wa kutoa maoni yao. Yaani...
Kuna tabia inakomaa ya wanafunzi hasa kwa Dar kwenda shule saa 12 asubuhi na kutoka 12 jioni, awali tabia hii ilikuwa kwa shule za kulipia za watu binafsi ikawa inapigiwa kelele ila sasa naona...
Kuna shule moja huko Iran ilipigwa na kombora na kusababisha vifo vya mamia ya wanafunzi.
Watoto wadogo wasio na hatia yeyote wanauwawa kinyama na kikatili kabisa. Halafu hapohapo unaambiwa kuna...
Niende moja kwa moja kwenye mada.....
Basi miezi mitatu iliyopita nilikuwa nimechelewa kurudi nyumbani, yote sababu nilipitia sehemu kwaajili ya kupata moja baridi, nilivyofika bar nikaagiza...
Huu ni mtego, baki nyumbani pambania haki yako, usiende Urusi kupambania haki ya Warusi Ukrain, usidhubutu. Utapelekwa frontline ukafe.
Kwenye hiyo video hapo juu, huyo jamaa anatuambia eti...
wakuu kama mnavyoona zimebaki siku mbili tu kuumaliza mwaka 2024 na kuanza mwaka mwingine 2025,
watu wengi hua wanajiwekea malengo mbalimbali wakiamini mwaka mpya unavyoanza ni rahisi zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.