Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi.
Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa...
Habari za asubuhi.
Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa...
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku.
Wana visirani na viburi sijawahi ona.
Picha linaanza akikata...
Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu.
Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu.
Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini.
Ni...
Wasiyoyajua Waislamu wengi
Utakuta shekhe/ustadhi/kijana wa kislamu amevimba mishipa ya shingo akiisifia Quran kuwa ni kitabu cha pekee kilichotunzwa toka karne ya 7, kwamba kina mambo ya sayansi...
Lebanon ni nchi yenye historia ndefu sana, historia inayofika moja kwa moja kwenye kurasa za Biblia.
Hata kabla ya kuingia kwenye maandiko au akiolojia, kuna ushahidi mmoja unaojitokeza wazi hadi...
GARIMA GOSPELS NA URITHI WA KIKRISTO ETHIOPIA: USHUHUDA WA BIBLIA, HISTORIA NA MAANDIKO YA KALE
Ethiopia ni miongoni mwa mataifa machache duniani yenye urithi wa Ukristo wa kale usio na dosari...
Kama uonavyo kwenye makampuni ama viwanda vya kutengeneza vitu mbalimbali na kwenye ulimwengu wa giza ni hivyo hivyo!?
Kuna maduka maalum ya kuuza zana na vipuri vya tunguri
Kuna watu maalum wa...
Isije kuwa anajua ni akina Paschal Mayalla. Mweshimiwa akumbushwe tu kuwa kwa cheo alichonacho tungetarajia awaanike hadharani tujue moja au anyamaze jumla.
Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki.
Andiko limeandikwa kwa kiingereza...
LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama...
Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma.
Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo...
Kwa yanayoendelea.
Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel.
Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo...
Mko poa wakuu,
Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua...
"Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga.
Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza.
Makamanda wenu wamewauza.
Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba...
Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL).
Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika
Wewe kitu...
ni swali fikirishi
Unakuta nchi ina kila kitu: madini kibao, vivutio vya utalii, mito mikubwa, ardhi nzuri. Lakini wananchi hawaoni faida ya hayo yote. Umaskini ni mkubwa, huduma za kijamii...
Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.