Nina kipaji cha utapeli

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,329
4,851
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilimrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu

Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda migodi ya dhahabu na kufanikiwa kupewa gramu 89, Yaani kwa sound tu.

Tukio la tatu kipindi narudia hapo kwa Madiba kuna jamaa ambaye nilipanda nae bus alikuwa amebeba dawa za kulevya ilipo fika mpakani jamaa akanichana yakuwa ana madawa baada ya kuona hana namna basi nikamwambia niachie hizo mizigo mana ilikuwa kwenye begi, mwisho wa mchezo nilitoka na zile dawa kwa saund sitosema mbinu na mengine mengi.

Tukiachana hayo matukio madogo madogo niliyofanya ila nikikaaga na watu wenye upeo fulani huwa wananiambia "asee we jamaa kwa jinsi ulivyo unafaa sana kuwa tapeli nawaulizaga kwanini wanasema body yako inaonyesha na pia unaupeo fulani hivi wa kujibadilisha kutokana na mazingira.

Wakuu msaada wenu hivi hiki kipawa nitumie sehemu gani maana sipendi kukitumia kwa njia hasi mana nilisha Liza kijiji kizima pesa kwa kutumia ulaghai na sikugundulika na nikala pesa.

Na nimeisoma sana michezo ya matapeli wa hapa nchini nawaona bado hawana mbinu na mbinu zao za kitoto sana laiti ningekuwa huko mpaka sasa ningekuwa tapeli ambaye hajawahi tokea tz mana nakutapeli halafu unafurahia.

Hebu mnipe namna kabla sijakuwa mlaibu kwa kuumiza watu zaidi.

Ili mdhibitishe hilo naombeni pendekezeni nyinyi nani awe wa mfano iwe kiongozi au mtu wa kawaida yoyote humu.
 
Huenda upo sahihi, kuna jamaa mmoja tupo nae kijiwen yeye akitaka akutoe pesa utatoa tu.

Yeye sio tapeli ila kulipa anachelewa na shida anacheza mno kamali.

Kumaliza laki 3 kwa siku kwenye magurugur ya kichina ni rahisi sn kwake.

Mi namfahamu lkn nakumbuka kuna siku alikuja kwangu akanipiga saund ndugu yangu mgonjwa anataka akakope pesa sehemu tatizo dhamana hana ila sasa kama inawezekana basi akaniambia najua wewe huna pesa ila naomba kadi yako ya bajaj nikawekeze bondi ili nichukue mkopo laki 3.

Kwa pale sijui akili ilikua wapi si nikampa, kwa sababu ni jamaa yngu alilipa kiasi kwa mbinde nyingine nikapotezea.
 
Hiki kipaji nilianza kukigundua baada ya kuenda bank moja hivi na kupiga sound mhudumu mmoja wa pale na kumfanya kumtoa kiasi cha m20. Pasipoti dhamana ya kitu ila nilomrudishia lengo kupima uwezo wa akili yangu

Tukio la pili nilipofanikiwa kuingia nchi moja hivi na kukuta askari wakilinda migodi ya dhahabu na kufanikiwa kupewa gramu 89, Yaani kwa sound tu.

Tukio la tatu kipindi narudia hapo kwa madiba kuna jamaa ambaye nilipanda nae bus alikuwa amebeba dawa za kulevya ilipo fika mpakani jamaa akanichana yakuwa ana madawa baada ya kuona hana namna basi nikamwambia niachie hizo mizigo mana ilikuwa kwenye begi, mwisho wa mchezo nilitoka na zile dawa kwa saund sitosema mbinu na mengine mengi.

Tukiachana hayo matukio madogo madogo niliyofanya ila nikikaaga na watu wenye upeo fulani huwa wananiambia "asee we jamaa kwa jinsi ulivyo unafaa sana kuwa tapeli nawaulizaga kwanini wanasema body yako inaonyesha na pia unaupeo fulani hivi wa kujibadilisha kutokana na mazingira.

Wakuu msaada wenu hivi hiki kipawa nitumie sehemu gani maana sipendi kukitumia kwa njia hasi mana nilisha Liza kijiji kizima pesa kwa kutumia ulaghai na si kugundulika na nikala pesa.

Na nimeisoma sana michezo ya matapeli wa hapa nchini nawaona bado hawana mbinu na mbinu zao za kitoto sana lait ningekuwa huko mpaka sasa ningekuwa tapeli ambaye hajawahi tokea tz mana na kutapeli alafu unafurahia.

Hebu mnipe namna kabla sijakuwa mlaibu kwa kuumiza watu zaidi.

Ili mdhibitishe hilo naombeni pendekezen nyinyi nani awe wa mfano iwe kiongozi au mtu wa kawaida yoyote humu.
Mkuu hebu acha kutuhadaa
 
Watu wa type yako wapo wengi alafu sio waoga wao hata kumsomesha mwanajeshi akatoa hela benk akampa wao kwao ninkazi ndogo, ilishawah tokea ila alikuwa mwanajesh mstaafu ila baadae akaja wakamata yule mjeda aliwasamehe aliataka tubdocument zake waliondoka nazo ktk begi.

Mimi ninauwezo wa kumtambua tapeli kwa maneno yake ya mwanzo tu maana nimekaa nao na wanalugha zao na ishara zao back to 2016 kidogo nijiunge nao deal zao ni kuuza madini fekiwalipiga pesa sana kitambo iko saiv sijui wapo wapi
 
Wewe sio tapeli Kama unajiona huko konki mtapeli Mbowe akuaachie uenyekiti
Shida yangu sio uenyekiti shida yangu ni kujua hiki kipaji nakitumia vipi? Kwanza nitapo mtapeli huyo mbowe atakuja kusema huku ? Kama niliweza kwa Makonda nitamshindwa mbowe
 
Watu wa type yako wapo wengi alafu sio waoga wao hata kumsomesha mwanajeshi akatoa hela benk akampa wao kwao ninkazi ndogo, ilishawah tokea ila alikuwa mwanajesh mstaafu ila baadae akaja wakamata yule mjeda aliwasamehe aliataka tubdocument zake waliondoka nazo ktk begi.

Mimi ninauwezo wa kumtambua tapeli kwa maneno yake ya mwanzo tu maana nimekaa nao na wanalugha zao na ishara zao back to 2016 kidogo nijiunge nao deal zao ni kuuza madini fekiwalipiga pesa sana kitambo iko saiv sijui wapo wapi
Wenzio hawaamini kama watu wana vipaji na mbinu za kulaghai watu mwenzio niliweka shati la k10 poni kwenye duka la vifaa vya ujenzi na kuchukua mifuko ya saruji 12 na kumlipa baada ya miezi miwili nusu ya bei na kuchukua shati langu hapo hata hanijui simjui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom