HakikaaaSee a Psychic ASAP Man! Mawazo ya kujinyonga yanaanzaga namna hiyo! 😁
CCM hajui Hilo wao ni kunyinya nchi mwanzo mwishoHakuna maana unapambana kusoma unapambana ili utoboe kimaisha unajitahidi kuwekeza miradi mwisho wa yote hayo unakufa
Pole mkuu Kwa kicheko, lakini hii ni true story.nimecheka kama fala mpaka watu wanahis nimeanza kudata oyaa umezingua nahaibika huku hahahaha