Wananchi wa Mtaa wa Machimbo, Kata ya Mbezi, wameonesha furaha yao kufuatia utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa huduma ya majisafi wa Msakuzi–Machimbo hadi Makabe, unaolenga kumaliza changamoto...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho kwa lengo la kuwafikia wananchi kutatua...
MSHINDI NDIYE ANAANDIKAGA HISTORIA. MAREKANI Vs IRAN. MWISHO NDIO UTATOA JIBU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Fanya utakavyofanya. Rusha ngumi utakavyo rusha ngumi. Shambulia...
Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya Jihad imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi mbalimbali, hali iliyosababisha Waislamu kushutumiwa kwa ugaidi. Watu wengi, wakiwemo Waislamu wenyewe, hawana...
Kijito cha Kidron, kinachojulikana pia kama Bonde la Kidron (kwa Kiebrania: נַחַל קִדְרוֹן Nahal Kidron; Kigiriki: Kedron; Kiarabu: Wadi al-Nar), ni eneo maarufu mashariki mwa mji wa kale wa...
Mfano wa Mfungo wa Siku Kumi wa Danieli na Ushahidi wa Kisayansi
Mfungo wa siku kumi wa Danieli ni moja ya mifano bora ya nidhamu ya kiroho na kiafya inayoonekana katika Biblia. Huu ni mfungo...
Maisha huku Mars wanategemewa kuwa mazuri mno. Ukiingia hutatamani kurudi Duniani.Life on Mars: Here's what the planet's first city might look like
Image source ☝️☝️☝️
Salaam alaykum...
Wengi wamekuwa wakipotosha watu kuhusu uislamu mpaka watu hao (wapotoshwaji) wamekuwa wakiona uislamu ni kitu kisichofaa katika jamii. Haijaisha hapo tu bali hata waliofuata huo...
Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero.
Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA...
Nawaza tu kwa sauti, msije sema mimi mnazi ila kwa yanayoendelea kipindi hiki huko Iran na Ukraine. Naweza sema Manazi wa Germany walikuwa mbele sana ya muda.
Haya majitu mawili hapa Duniani...
Kumekuwa na wimbi kubwa la ufugaji wa samaki Kanda ya Ziwa na hasa Jiji la Mwanza. Masoko mengi jijini Mwanza yamejaa hawa samaki wanaofugwa na ndiyo wanauzika kwa wingi.
Ninaomba kuelemishwa...
Huyu jamaa mimi huwa nacheka sana jinsi anavyoongea,maneno sijui huwa anayatoa wapi,mfano maiti imepiga chafya,ila hili la juzi,eti wanapiga marefu,ni kiboko
Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi?
Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe wamelalamikia ongezeko la mamba ndani ya Ziwa Viktoria na kuleta madhara kwa wananchi wa wilaya hiyo baada ya miezi mitatu iliyopita matukio zaidi ya...
Miaka mingi tulikuwa tukihabarisha kwamba kila mtu ana mitambo ya kujilinda,wapo waliotolea mfano nchi ya ahadi hata ukitupa jiwe haliwezi kufika kwenye ardhi yao,yaan linapanguliwa juu kwa juu...
Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote?
Huyu jirani yangu kanishinda tabia...
July 2019
MILIKI WATU UPATE UTAJIRI.
Na. Robert Heriel.
Reposted.
Kama kuna siri watu hawataki kuisema kuhusu utajiri basi ni hii hapa. Siri ya kumiliki watu. Huwezi kuwa tajiri bila kumiliki...
Na Mwandishi Wetu.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, ameagiza kuimarishwa kwa udhibiti wa taaluma ya uandishi wa habari nchini ili kulinda hadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.