Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapi Gen Z wanakosea au ni nature tu imeamua, Kila nikichek ni RIP kwa vijana wadogo.
3 Reactions
26 Replies
590 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Xavier Daudi, amekemea vikali vitendo vya uhusiano ya jinsia moja miongoni mwa watumishi wa umma, akisisitiza...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu...
1 Reactions
9 Replies
289 Views
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo. Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa. Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu...
12 Reactions
41 Replies
876 Views
Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa EFM & TVE Deniss Ssebo, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Muhimbili. Ssebo amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa zaidi zitawajia kuhusu...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania. Sasa viongozi wengine, Mawaziri...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki. Mngesikia winga kala...
7 Reactions
21 Replies
496 Views
Zanzibari wote ni wahamiaji tu. Asili yao wote ni wabara hivyo tuache kubaguana wabara nao waruhusiwe chochote kama wazanzibari wanavyo ruhusiwa sio tu kuishi lakini kuweka makazi. Raisi Hassan...
2 Reactions
8 Replies
180 Views
Habari zenu wakuu!? Natuamini mko pouwa kama unaumwa au una smongo wa mawazo basi polee mkuu, yanamuda tu yatakuwa poua. Niende kwenye maada. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ambapo kwa kuona na...
14 Reactions
55 Replies
2K Views
Angalia Star TV, member mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja wa wageni waalikwa ndani ya jicho letu ndani ya habari. Wanazungumzia report ya CAG. Cc. Pasco
4 Reactions
13 Replies
3K Views
UPEMBUZI YAKINIFU WA KITABU CHA MTU TAJIRI ZAIDI BABYLON "THE RICHEST MAN IN BABYLON" Na LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA. KWAMBA, THE RICHEST MAN IN BABYLON ni kitabu...
16 Reactions
27 Replies
6K Views
Ustadhi Juma Hussein Kilaghai mmoja wa Waislamu 12 waliowashitaki RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii zilizopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na BAKWATA hii...
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
1 Reactions
0 Replies
143 Views
Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga? Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa...
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA...
3 Reactions
2 Replies
193 Views
Na Mwandishi Wetu Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Kampuni ya Grammarly inakabiliwa na kesi nzito (class action lawsuit) iliyofunguliwa Machi 2026. Kesi hii inahusu kipengele chao cha AI kilichojulikana kama "Expert Review" (ambacho sasa...
1 Reactions
0 Replies
98 Views
Watanzania msibabaishwe na maisha ya Marekani, Wamarekani wengi ni choka mbaya, hawana uwezo wa kumiliki nyumba kama ninyi, wanaishi kwenye kota za kupanga tangu utoto wao mpaka uzee. Inawezekana...
50 Reactions
426 Replies
26K Views
Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi? Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara...
19 Reactions
45 Replies
843 Views
Back
Top Bottom