Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo...
2 Reactions
2 Replies
212 Views
Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga...
3 Reactions
3 Replies
145 Views
Ni rahisi kuwaeliwa wanawake wanaoenda makanisa haya kwasababu wao wana hitilafu kidogo kwenye imani, ni rahisi kuvutwa na mazingira haya. Kwao haya makanisa ya miujiza, muziki mnene, ni kama sisi...
8 Reactions
11 Replies
464 Views
Kama hii imewai kukutokea umetoka sehemu moja au eneo moja ulikuwa na wazo la kufanya jambo fulani au biashara ulivyofika eneo hilo ukaghairi au ulikuwa na confusion(kujiuliza sana )na mwisho...
4 Reactions
6 Replies
282 Views
Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
9 Reactions
41 Replies
829 Views
Katika diaspora wanaoongoza kuichukua serikali yao waIran wanaoishi nje ya nchi yao wanaweza kuwa wanaongoza, wengi wao wanafurahia hadi Iran inavyoharibiwa kwa mabomu! Hakuna diaspora kabisa...
2 Reactions
17 Replies
259 Views
Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongozi anakuja mahali fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yaani unakuta vurugu nyingi na ilhal mahali alipo kuna viongozi. Je, hawa...
2 Reactions
8 Replies
198 Views
Mpaka sasa ni rasmi ukiwa Tanzania huwez ku access mitandao ifuatayo. 1. Jamii forums 2. X(Zamani Twitter) 3. Telegram 4. Clubhouse 5. Site zote za mambo yetu yale! Sasa ninachojiuliza hawa...
7 Reactions
33 Replies
474 Views
Mitaa mbalimbali jijini Mwanza imekumbwa na mafuriko makubwa kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Mji uliozaliwa wewe huamini kwamba ni mtakatifu, ila umepumbazwa kuamini miji ya watu iliyopo mbali kabisa na wewe kwamba ndio miji Mitakatifu. Mtu unaenda kusongamana, kukanyagana, kukosa hewa...
4 Reactions
31 Replies
496 Views
Mwenye kituo cha habari anataka faida na kituo chake kuendelea kunawiri. Ili kupata faida anawahitaji wasikilizaji, wasomaji na watazamaji wa aina zote. Kama mtangazaji ataajiriwa kituoni halafu...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Avatar, jina analojiita mtu JF ni jina ambalo amelichagua mwenyewe baada ya kufikiria. Hivyo kwa asilimia zaidi ya 90 lina akisi tabia yake au namna anavyotamani kuwa. Kuna kuwa na nguvu...
17 Reactions
37 Replies
796 Views
Mara kamtoa mama yake kafara,mtoto wake,ndugu zake,anafanya mapenzi na mama yake mzazi,anafuga nyoka,ana kidonda ndugu kisichopona. mara ilo mjengo wake kuna chumban maalum haruhisiwi mtu kuingia...
7 Reactions
16 Replies
290 Views
Wakati wa Ramadhani, Waislamu wenye afya njema hufunga kuanzia alfajiri hadi machweo, lakini watoto, walemavu, wasafiri, na wale walio wagonjwa wa kimwili au kiakili au wajawazito hawaruhusiwi...
5 Reactions
7 Replies
259 Views
  • Redirect
Naona wameanza kunenepa Sasa. Wafikiri mambo yamepoa. Wanasema tugange yajayo....! Hehehe! mahii mahii! Ndugu zetu bado hawajapumzika kwa Amani mupaka tulipe kisasi chao. Nye Nye Nye. Miye sijui...
2 Reactions
– Replies
– Views
Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow...
2 Reactions
2 Replies
294 Views
Habari za wakati huu wapendwa! Binafsi nashangazwa sana na mambo yanayoendelea ulimwenguni. Tangu utotoni tumefundishwa na dini zetu kuhusu upendo na pia kuonywa juu ya siku za mwisho. Lakini kwa...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Anonymous (c723)
Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata...
3 Reactions
12 Replies
407 Views
Majuzi majira ya saa mbili asubuhi ( wakati sikukuu za pasaka), nilipitiwa na usingizi nkiwa nimelala na mtoto wangu mdogo wa kiume alikuwa pembeni yangu. Mara nkaota nko kwenye ukumbi mithili ya...
3 Reactions
9 Replies
691 Views
Back
Top Bottom